kurejesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeep wrangler

    TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  2. Jeep wrangler

    TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  3. Roving Journalist

    MNH-Mloganzila yatoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume kwa kupandikiza kifaa maalum

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa na bingwa bobezi kwa kutoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume(Penile Implant Surgery) kwa wanaume wenye changamoto hiyo ambao hawajafanikiwa kupata nafuu kupitia matibabu mengine. Akizungumza kuhusu...
  4. Kaka yake shetani

    Wanasayansi wa Harvard wagundua kemikali zinazoweza kurudisha nyuma uzee wa seli za binadamu – Je, siku moja tutakuwa na kidonge cha kurejesha ujana?

    Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy). Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini. Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
  5. Alloyce PR

    Vita vya tatu vya dunia kurejesha misingi ya Mwafrika

  6. Parabolic

    Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  7. H

    CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  8. Best home tutor

    Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  9. Montania

    Mganga anayeweza kurejesha mpenzi aliyejizima data

    Kama kuna mganga ambae unamjua anaweza rejesha mahusiano kuwa shwari, weka namba apa turuke nayo.
  10. Best home tutor

    Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  11. E

    Vodacom na ahadi ya kurejesha Tsh. 75

    Leo nimenunua kifurushi kwa kutumia M-pesa kupitia menu ya vodacom ambapo walieleza wazi kuwa mteja atarudishiwa sh 75 baada ya ununuzi.Nimefuata maelekezo yote na nimekamilisha muamala,lakini hadi sasa sija pokea marejesho hayo Naomba kujua kama kuna mda maalum wa kusubiri au kama hii ni...
  12. A

    KERO Malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR). Kwa muda wa zaidi ya miezi minne sasa, bado hatujarejeshewa fedha zetu. Kila tunapowasiliana na huduma kwa...
  13. L

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  14. A

    KERO UDOM na deni kwa wanafunzi wenye malipo yaliyozidi (overpayment)

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  15. R

    Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  16. Waufukweni

    Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  17. N

    Ninatoa elfu 50 Kurejesha Account ya Instagram

    Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka We disabled your account, cee Hi ce__ We reviewed your account and found that it still doesn’t...
  18. uhuruborn

    PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  19. R

    Vodacom kurejesha Bando kwa wateja walionunua na hawakutumia wakati Mtandao ulipozimwa

    Wakuu, Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
  20. M

    GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
Back
Top Bottom