kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kevin De Bruyne atangaza kuondoka Man City mwishoni mwa msimu

    Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City this summer, bringing an end to his decade-long stay at the Etihad. De Bruyne's contract is due to...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka

    Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama amenyong'onyea. Akamasaidia kumtoa katika mvua akamwingiza ndani. Baadae akamtoa nje ila hajaruka na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  5. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaiamuru vikosi vya Rwanda na M23 kuondoka DRC Haraka bila masharti yoyote.

    Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo wa M23 kufanya utekaji na mauaji nchi DRC hali inayopelekea kukosa utulivu katika eneo zima la...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupokea viongozi na kuondoka kwa nini imekuwa kama sherehe na sio heshima za kiusalama kama ilivyo kwa nchi nyengine

    Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu. Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Susana, mwanamke aliyetaka kuondoka na uhai wa Ronaldo De Lima

    Unamuona huyu mdada pichani? Hana furaha. Uwanja mzima unashangilia goal matata la Ronaldo ila yeye hana amani. Mwaka 1998, Timu ya taifa ya Brazil ilielekea Ufaransa kucheza michuano ya kombe la Dunia. Kila mmoja uwanjani alikuwa akifurahia soka safi la Kibrazil lililokuwa la nguvu na vipaji...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond afafanua ishu ya Mbosso kuondoka WCB

    Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefafanua taarifa za msanii wake Mbwana Kilungi maarufu ‘Mbosso’ kuondoka kwenye lebo hiyo, huku akisema yeye ndiye mtoa tamko wa lebo hiyo. Soma: Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond Kupitia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Athari Tatu za Kuondoka kwa Lewis Hamilton Kutoka Mercedes

    Mercedes Benz ilimpa Lewis dola milioni 100 kwa miaka miwili na akakataa offa yao. Mercedes Benz, ikagoma katukatu kumpa Sir Lewis Hamilton nafasi ya ubalozi. BONGE LA MISTAKE! Ferrari haikumpa dola milioni 100, lakini iliwekeza dola milioni 446 kwa Sir Lewis Hamilton na taasisi zake za...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  13. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Car4Sale NISSAN SERENA. Bei 4.5 boss asigushwe haina changamoto njoo washa na kuondokà... 0712378559

  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  18. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni taifa la wakoloni, hawajawahi kuondoka

    Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe; Mchezaji mzuri asiyejua muda sahihi wa kuondoka jukwaani?

    UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
Back
Top Bottom