Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.
Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!
Maajabu...
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha.
Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting.
Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo...
Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo.
Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20.
Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena.
Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu...
Wakuu habari za muda huu,
Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa.
Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
Heshima kwenu wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station.
Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.