Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye...
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo.
Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
Narrative kama..
"Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu"
"Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi"
"Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka"
"Sitaki niolewe then nipelekeshwe"
Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+.....
Plus umalaya wa kutosha...
Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
Kama kichwa cha mada husika kinavyo sema hapo juu, siku hizi kuna dhana inayo sema eti kabla ya kuoana ni lazima kuchunguzana ili mjuane ndo muoane eti ndo ndoa yenu itakuwa imara,kwa jina lingine tuite uchumba sugu.
Lakini cha kushangaza kwenye huu ulimwengu wa kisasa ambao watu...
Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa
Uponyaji ni nini
Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo.
Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima...
Habari,
Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu.
Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara.
Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu.
Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona.
Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile
nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale.
kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome alichukia sana hadi akawaambia Viongozi kuwa kama vipi atahamia Mtaa wa Pili kwenye Raha sasa.
Mwezi Jana nilikuwa phuket kwa kazi fulan sehemu inaitwa Patong!
Kilichosaidia nili book mapema Agoda lengo nikifika nibadili hotel maana kwa siku moja mtu unatozwa baht 12,000 Sawa na usd 500$ , asubuhi nikachukua taxi tukazunguka kila hotel kutafta cheap ! Nazo Nikaambiwa kwamba hata hiyo...
"AN/PSQ-42 Enhanced Night Vision Binocular (ENVG-B) ni kifaa cha kuona usiku cha kizazi cha tatu (kisichotoa mwanga) kilichoandaliwa kwa ajili ya Jeshi la Marekani. ENVG-B mpya na FWS-Is zinawaruhusu askari kufanya uchunguzi wakati wa operesheni za mchana na usiku, pamoja na uwezo wa kuona...
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana Mbowe kama karatasi
Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=.
Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
💠💠💠💠Namna ya kuona aura yako💠💠💠💠
✍️Kama ilivyo katika aina nyingi za uwezo wa kiakili, kuona aura kunaweza kutokea kwa hiari au kwa mapenzi.
✍️Wakati mwingine watu huripoti kuona aura ya rafiki wakati wa mazungumzo au kuona rangi karibu na chakra ya taji ya mtu mwingine wakati wa kipindi cha...
I will be short
Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi .
Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu .
Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy...
Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.