kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Masikini huwa hawaumwi macho? Sio rahisi kuona miwani uswahilini

    Ukiacha mabinti wanaovaa miwani kubwa za urembo na wazee sana sio rahisi sana kuona watu wanaoishi uswazi au maisha ya yasiyo ya kishua wakiwa wamevaa miwani. Ni nadra kukuta watoto wa shule za serikali wamevaa miwani ya matibabu ila shule za binafsi wapo wengi wanaovaa miwani.
  2. blogger

    Inasikitisha sana kuona Afande Sele anayaweka Maisha yake hatarini..

    Anaelewa kila kinachoendelea nchini. He wants to be a hero! Binafsi siko Tayari Baya limkute.. ila linaweza likamkuta lolote. Hilo tamasha la Bongo 30, limeandaliwa makusudikaly kufuta memories na chuki ambaxo watu walishajenga dhidi ya wasanii kutokana na kuwa upande wa CCM.. Sioni sababu...
  3. S

    Natamani kuona maisha ya Jaji Nduguru na Katuga kwa sasa hasa wanapokuwa mitaani na sehemu zingine kama maofisini, n.k

    Baada ya kukamilisha kazi waliyokuwa wamepewa, natamani sana kuona jinsi watu hawa wanavyoishi na kupokewa na jamii wakiwa maofisini, mitaani na sehemu nyinginez kama kwenye misiba, n.k
  4. Gunner11

    Aisee nimekuja kuona wanao enjoy maisha ni watu wa uswazi

    Ni full mavibe tu.. Yaani kuna machimbo ya pisi kali.. Leo, bwana nimepelekwa sehemu hiyo mzee kuna mishangazi, imenona balaa. Nikasema nilikuwa wapi mie, aisee tena unaambiwa ni wewe tu na hela yako.. Ila, truth be told japo uswazi kuna lay people ila wanaishi maisha simple na...
  5. PAGAN

    Kitu kizuri kuona wadau wanajazana kanisani kilaza Jumapili

  6. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  7. Forrest Gump

    Taliban imepiga marufuku matibabu ya kusaidia macho kuona kwa kusema kuwa matibabu hayo hayaendani na maadili ya kiislamu

  8. Gunner11

    Nimekuja kuona kila mtu ana addiction na hajui

    Wengine walevi, Wengine malaya, Wengine wana addiction ya nyeto, hadi wanawake pia. Wengine, wana addiction ya kukesha vibarazani. Wengine wana addiction ya kazi (workaholic) In one way or another addiction sio mbaya, it depends where unavuna dopamine zako... Either kwenye vit constructive...
  9. M

    Mara walianzisha vuguvugu la Mo29, This time ni Mbeya, hakika sijawai kuona mikoa yenye watu wasio na uoga kama Mara na Mbeya. Mikoa mingine mjifunze

    Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
  10. M

    Zingatia hili " rafiki zako wengi hawatamani kuona unafanikiwa kuwashinda✍️ Malenga wa Kiha

    Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
  11. Zack Abdul

    Kilema cha Kuona Kilichopelea

    Kuna wale wakaguzi wa kilichopelea. Kwa kila simulizi wanakuja na ushahidi wa kile ulichokisahau: ‘Jamaa ni mtu mwema sana. Napenda anavyojiongeza akisikia shida ya mtu’—ndio lakini ana tatizo hili usilolojua ngojea nikwambie. ‘Shule zikifunguliwa nampeleka mwanangu shule X’—ile shule nzuri...
  12. N

    Mbona sijawai kuona wazungu humu ?

    wakuu kwema inamaana hakuna wazungu single humu
  13. Gunner11

    Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  14. R

    Kampuni za Eli Lilly na Novo Nordisk zinazozalisha dawa za GLP-1 zafunguliwa kesi Mahakamani zikidaiwa kuchangia kupoteza uwezo wa kuona

    Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
  15. sepema

    Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
  16. min -me

    Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

    Bila unafki na kunyooka kama rula Namba moja nampa Depal Angel Nylon binti kiziwi Mzigua90 Seran
  17. Gunner11

    Hivi unajiskiaje age mates wako wote kuona wanaoa?

    Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko.. Mimi ndo hata hilo wazo sina.. Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu Wakuu this is insane mpaka unaogopa...
  18. The Dictator

    Kuna muda huwa napitapita kule gerezani kwangu kuona wafungwa wangu wanaendeleaje.

    Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
  19. M

    Ombi kwa uongozi wa Jamii forums. Wekeni utaratibu mtu ukimuignore asiweze kuona nyuzi zako au comment zako

    Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri . Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
  20. Mhaya

    Mnaonunua viwanja Tausi, Uwa mnafanya utaratibu gani kwenda kuona kiwanja?

    Habari Wadau Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi. Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
Back
Top Bottom