kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Mhaya

    Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
  2. Red black

    Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

    Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
  3. L

    Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  4. C

    Moja afariki dunia ,40 walazwa wakidaiwa kula chakula chenye sumu Singida

    Mmoja amefariki dunia na wengine 41 kulazwa hospitalini kwa matibabu baada ya kusadikiwa kula chakula chenye sumu mkoani Singida. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Matride Kuyeko amesema mtoto mwenye miaka 13, Ridhiwan Omari alifariki dunia wakati anapatiwa matibabu katika zahanati ya Moyo wa...
  5. Mhaya

    Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  6. mcTobby

    Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom? Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
  8. Alexido jz instagram

    Niffer aanza kupost vocha sahihi Instagram, kwa akili ya kumpigia kula jihan miss grand international mtanzania

    Twende KAZI jamaa langu
  9. AXIOM APEX VERBOSE

    Hivi tatizo la mtu kupenda kula vitu vilivyooza yaani kula MIZOGA kitaalamu linaitwaje?

    Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo. Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

  11. Zerock

    TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

    Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu. Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
  12. MamaSamia2025

    Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  13. Carlos The Jackal

    Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

    Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??. Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
  14. S

    Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
  15. Red black

    Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  16. Yoda

    Unene, kuwa kibonge ni ishara ya kula hovyo na uvivu

    Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili. Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
  17. Surya

    Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

    Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine. Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala. Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi...
  18. Gunner11

    Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

    Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine Daah! Haya mambo ya ubachela bwana...😔 Si amini sana kula sehemu ambayo haina mazingira mazuri na...
  19. The unpaid Seller

    Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  20. Mwl.RCT

    Huwezi kula pesa, lakini unaweza kula matunda ya mti uliouweka kama dhamana

    "The Illusion of Wealth" — a 10-minute Swahili deep dive. We're living on a credit card with no limit: money you can't eat, forests we're liquidating for it. Three actions — change the metric, make trees collateral, buy village title. "You can't eat money, but you can eat the fruit of a tree...
Back
Top Bottom