kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

  2. Z

    JamiiForums Tanzania TIMU BIKIRA : KAMA WEWE NI TIMU BIKIRA,ACHA KULA MBUSUSU KABLA HUJAOA.

    Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA. Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA. Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu. Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

    Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??. Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unene, kuwa kibonge ni ishara ya kula hovyo na uvivu

    Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili. Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
  8. Surya

    JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya kazi na shetani kula watu wenzao

    Yani elewa kabisa dunia hii ina watu mashuhuri wengi ambao kazi yao ni kula watu wengine. Shetani anatoa utajiri na Nguvu, Ukimfata ufanye nae mkataba anakupa Pesa, wewe unatoa ndugu na jamaa. waumiaji wa kwanza ni wale wajinga bongo lala. Sasa sikia anacho kifanya shetani ni Kumtumia kiongozi...
  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Huwa inaniuma sana kama nimezoea kula sehemu then ifungwe

    Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine Daah! Haya mambo ya ubachela bwana...😔 Si amini sana kula sehemu ambayo haina mazingira mazuri na...
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Huwezi kula pesa, lakini unaweza kula matunda ya mti uliouweka kama dhamana

    "The Illusion of Wealth" — a 10-minute Swahili deep dive. We're living on a credit card with no limit: money you can't eat, forests we're liquidating for it. Three actions — change the metric, make trees collateral, buy village title. "You can't eat money, but you can eat the fruit of a tree...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kula ugali kwa wingi

    Madhara ya kula ugali kupita kiasi: Ongezeko la uzito – ugali una wanga mwingi (calories nyingi), hivyo kula kwa wingi bila mazoezi kunaweza kusababisha unene. Sukari kwenye damu – ugali una glycemic index ya juu, hivyo unaweza kuongeza sukari haraka mwilini, hatari kwa wagonjwa wa kisukari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  14. papag

    JamiiForums Tanzania Kula sebene hilo la nkolomboka

    Tres bien?
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

    Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa. Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto. Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata...
  16. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Faida ya kula Bamia

    Faida za kula bamia: Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari) Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kila mtu atafute sehemu ya ulaji ale. Kula sio dhambi. Ila kuziba ulaji wa wengine ni dhambi na uhalifu

    Hamjambo! Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani. Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine. Ulaji. Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
  20. venchwa

    JamiiForums Tanzania Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

    Nashangaa hasira za nini je mkijua meneja wangu anabeba 13,000$ kwa mwezi si ndo mtazimia? Kabla ya kunibisha angalia uhalisia Hiyo 4500$ ni pesa nje ya bonus na mengine! Per month nakunja not less than 18,000$ kulingana na nature ya kazi mshahara si mkubwa ila bonuses ndo nyingi sana , wajuba...
Back
Top Bottom