kuku

  1. I

    Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
  2. KIBOD3

    Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa nyama (broiler)

    Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi. Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana kwa sasa au unafahamu mwenye banda la kukodisha, tafadhali wasiliana nami kwa ujumbe binafsi
  3. PROFOUND NOTION

    VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  4. Robert Heriel Mtibeli

    Nawakumbusha siku zote Dua la kuku halimpati Mwewe. Msiwe wajinga

    Hamjambo! Kuna sisi nilikuwa nataka kuwapa watu fulani hivi. Ila nimezuiwa na wahenga. Nimeambiwa mara nyingi natoa codes fulani ingawaje vichwa panzi wamekuwa wagumu kuzipata frequencies zangu ili kung'amua codes hizo. Leo sina maneno mengi. Nitawarejelea wahenga wakisema DUA LA KUKU DAIMA...
  5. mike2k

    Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  6. Bei rahisi Electronicks

    Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

    Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
  7. comrade_kipepe

    Hii ni aina gani ya kuku??

    Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa. Paja lake tuu wanauza 15,000 Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1 Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno. Hii ni mbegu aina gan ya kuku? Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
  8. Room 28

    Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura, Nitatoboa kweli?

    Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa ajili ya chakula tu kwangu Maoni ya Mdau
  9. Fbn

    Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  10. Fbn

    Hapa kama tumechekesha kweli:waziri wa vijana ila motivation sio mtendaji ila alikuwa kama msanii wa mr nguruwe,vanira na kuku.

    Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana. Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
  11. ankol

    Nifuge Kuku au Sato?

    Habarini wadau. Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga. Enyi wajuvi. Naombeni msaada kwenu. Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa? Naomba maoni yako hapa.
  12. C

    Kuku wana uhusiano mkubwa sana na dinosaur

    Angalia wanavyofanana sana, Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine. Ukimuona kuku ujue umemuona T.Rex mdogo Kwa kuthibitisha hili licha ya mfanano wao wa muonekano, chunguza tabia zakuku, Kuku ni...
  13. C

    Je, kuku ana uwezo wa kunusa harufu ? nilifanya utafiti huu nikagundua anaweza kutambabua harufu

    Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya I1li kutambua kweli kuku wanatumia macho tu kutofautisha chakula au wananusa harufu pia. Nilichukua nylon ambayo ilikua imewekewa...
  14. Brayan_Jk

    Tunawashukuru Wafugaji wa Kuku kwa hili🫶🏾💚

    Mwezi wa Aprili umekuwa mwezi mkubwa zaidi wa Fuga App tangu tulipozindua. Idadi kubwa zaidi ya watumiaji wapya kwa mwezi mmoja. Wastani wa ukuaji wa 55% kila mwezi. Na sehemu muhimu zaidi ukuaji wote ni bila matangazo ya kulipia Hakuna matangazo ya kulipa. Hakuna kampeni. Wafugaji wanawaambia...
  15. kaisar19

    Wafugaji wa kuku wa kisasa tukutane hapa

    Habari wakuu, Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani. 🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA: 🔹 Kuku wa Nyama (Broilers) ✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka) ✔️ Grower – kuku wanaokua ✔️...
  16. C

    Kitu nilichokigundua kuhusiana na kuku

    Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko wake wa kawaida hata bila jogoo lakini mayai yake hayataweza kutotolewa bila jogoo Hicho ndo kitu...
  17. T

    Mr. Kuku Scam: Kisa cha utapeli mkubwa zaidi wa uwekezaji nchini Tanzania

    Mwaka 2018 hadi 2020, Tanzania ilishuhudia moja ya scam kubwa na werevu zaidi katika historia ya kifedha ya nchi. Mfanyabiashara kijana aitwaye Tariq Machibya, anayejulikana zaidi kwa jina la Mr Kuku, aliibuka na biashara iliyokuwa inaahidi utajiri wa haraka utajiri chap chap.... Alifungua...
  18. mirindimo

    PICHA: Hii siku rafiki zetu walipoteza maisha kama kuku PUMZIKENI KWA AMANI

  19. R

    Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  20. Prof Phraoh AI

    Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    ‎ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai usingewezekana kabisa. ‎ ‎Mfano mmoja tu wa kuelewa: ‎Nguvu inayoshikilia atom pamoja inaitwa strong...
Back
Top Bottom