kuku

  1. S

    Unashitakiwa kwa wizi wa kuku, unahukumiwa kwa wizi wa bata

    Maajabu haya yanapatikana Tanzania tu na sijui kama unaweza yapata mahala pengine katika dunia ya leo Hii hukumu inabidi iingie kwenye The Guinness Book of Records
  2. Beira Boy

    Huzuni: Kosa ni la wizi wa ng'ombe hukumu ni ya kula firigisi za kuku

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutuhumu umeiba ng'ombe ila tunafunga kwa kosa la kula firigisi za kuku Daudi anasema Wana taka nirudishe kitu ambacho sikuiba Huzuni SAYUNI BOY
  3. figganigga

    Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika. Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi. Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
  4. Dogoli kinyamkela

    Bro shida haziishi tafuta SUPU ya kuku upige achana na hako ka mwajumah katakuua 😄 🤣

    Bro shida haziishi tafuta SUPU ya kuku upige achana na hako ka mwajumah katakuua 😄 🤣
  5. O

    Ahadi za Kuku na Kura za Mitaani Afrika kusini.

    Uchaguzi ulipokuwa unakaribia, joto la kisiasa lilizidi kupanda mitaani. Wanasiasa walikuwa tayari kufanya mambo ya kushangaza na yasiyowazika ili kujipatia kura za wananchi. Katika video hii, mwanasiasa mmoja mwenye hamu kubwa ya ushindi alifika mtaani akiwa amejipamba kwa mavazi ya chama chake...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Mvua ya dakika 10 yasababisha maafa, yasomba bidhaa na kuku Nzovwe, Mbeya

    Mvua iliyonyesha kwa takribani dakika 10 jijini Mbeya imeacha kilio kwa wakazi wa Mtaa wa Nzovwe baada ya maji kuingia kwenye nyumba na kusomba bidhaa za wafanyabiashara, zikiwemo kuku. Mvua hiyo ya mawe iliyonyesha leo Jumanne, Novemba 3, 2026, imesababisha mafuriko yaliyoathiri makazi na...
  7. Bemendazole

    Nimeamua kuigeuza nyumba ya ghorofa banda la kuku

    Mimi kwa sasa naishi mkoani. Kuna nyumba ya ghorofa nilikuwa naijenga jijini Dars'lama! Nikapiga mahesabu nikiimalizia na kuipangisha ntaambulia milioni moja. Nikawaza nikiweka cages nikaweka kuku wa mayai naweza kupata faida ya hadi Tsh milioni tano kwa mwezi! Sasa nimeona niiezeke kawaida...
  8. ChoiceVariable

    Huyu dada kaongea ukweli japo Lugha Ina ukakasi.Ukiolewa na Mwanaume Maskini Tulia Ukileta ujuaji kwenye Mali zake utachinjwa kama kuku.

    Sikiliza video kamaili hapa https://www.instagram.com/reel/DekdWJCik8d/?xtok=MXQycG1hZXY1azQ4dA==
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Nini cha kufanya/ kutofanya nyoka anapoingia kwenye banda lako la kuku?

    🐍 UKIMKUTA NYOKA KARIBU NA BANDA LA KUKU, USIFANYE HIVI! 🚨 Nyoka anaweza kujitokeza karibu na banda la kuku, hasa maeneo yenye vichaka, magugu, mabaki ya mbao, mawe au panya. Wafugaji wengi wanapomuona nyoka huingiwa na hofu na kukimbilia kumuua. Lakini kumfuata au kujaribu kumkamata kunaweza...
  10. Yoda

    Wizi wa wauza kuku wa kuchoma na kukaanga kwenye firigisi ukomeshwe.

    Sehemu wanazouza kuku hasa wa kienyeji ukiagiza kuku nusu wa kuchoma au kukaanga hutakaa upewe firigisi, maini au hata shingo. Lakini pia sehemu nyingi mijini ukiagiza hata kuku mzima hupewi na firigisi zake pamoja na maini yake. Huu ni wizi mkubwa kinyume na dini kabisa. Leteni firigisi...
  11. cold water

    Harmful nimeshindwa kuku dm

    ......
  12. C

    Karibu tunauza Bata wa aina zote na Kuku wa mapambo: Tupo Bunju Dar

    Tunauza bata wa aina mbalimbali kwa bei nzuri. Wapo wakubwa wa kutaga pamoja na vifaranga wadogo. Bata mzinga – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa wa kutaga na wadogo wanapatikana) Bata Bukini – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa na wadogo wanapatikana) Bata Pikini – Jozi TSh 150,000/= (wadogo wanapatikana)...
  13. S

    SI KWELI Kuku ana sumu kali kuliko Nyoka?

    Kuna kipande cha video huko Insa nimekiona jamaa anaelezea kuwa kuku wana nyoka kali kuliko ya nyoka. Hili Limekaaje wakuu?
  14. 1995El

    Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

    Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo Habari wakuu, Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia. Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...
  15. Financial Analyst

    Napendelea sana ufugaji wa kuku kama side hustle, nisaidieni mawili matatu, nimetenga tsh 3m

  16. J

    Bei ya tray la mayai ya kuku wa kisasa (layers) Kahama ni shilingi ngapi?

    Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
  17. Jannatul Firdaus

    Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  18. M

    Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa. Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza...
  19. M

    Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  20. O

    Wananchi wa Ruiru Wakataa Kuku na Nguruwe, Wamtaka MCA Alete Barabara na Miundombinu

    Hali ilizidi kuwa ya mvutano katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya wakazi kumkabili MCA wao wakikataa kupokea kuku na nguruwe waliokuwa wakigawiwa kupitia programu ya kaunti. Katika video inayosambaa mtandaoni, wananchi wanasikika wakisema kuwa hawahitaji miradi ya kugawa mifugo huku...
Back
Top Bottom