kuku

  1. C

    JamiiForums Tanzania Karibu tunauza Bata wa aina zote na Kuku wa mapambo: Tupo Bunju Dar

    Tunauza bata wa aina mbalimbali kwa bei nzuri. Wapo wakubwa wa kutaga pamoja na vifaranga wadogo. Bata mzinga – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa wa kutaga na wadogo wanapatikana) Bata Bukini – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa na wadogo wanapatikana) Bata Pikini – Jozi TSh 150,000/= (wadogo wanapatikana)...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuku ana sumu kali kuliko Nyoka?

    Kuna kipande cha video huko Insa nimekiona jamaa anaelezea kuwa kuku wana nyoka kali kuliko ya nyoka. Hili Limekaaje wakuu?
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo

    Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo Habari wakuu, Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia. Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...
  4. JamiiForums Tanzania Napendelea sana ufugaji wa kuku kama side hustle, nisaidieni mawili matatu, nimetenga tsh 3m

  5. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya tray la mayai ya kuku wa kisasa (layers) Kahama ni shilingi ngapi?

    Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
  6. JamiiForums Tanzania Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa. Kila wiki katika ufugaji inakuja na changamoto yake , umakini hasa unaitajika siku za mwanzo ukianza vibaya utaona kila rangi na unaweza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ruiru Wakataa Kuku na Nguruwe, Wamtaka MCA Alete Barabara na Miundombinu

    Hali ilizidi kuwa ya mvutano katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya wakazi kumkabili MCA wao wakikataa kupokea kuku na nguruwe waliokuwa wakigawiwa kupitia programu ya kaunti. Katika video inayosambaa mtandaoni, wananchi wanasikika wakisema kuwa hawahitaji miradi ya kugawa mifugo huku...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa nyama (broiler)

    Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi. Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana kwa sasa au unafahamu mwenye banda la kukodisha, tafadhali wasiliana nami kwa ujumbe binafsi
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  13. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha siku zote Dua la kuku halimpati Mwewe. Msiwe wajinga

    Hamjambo! Kuna sisi nilikuwa nataka kuwapa watu fulani hivi. Ila nimezuiwa na wahenga. Nimeambiwa mara nyingi natoa codes fulani ingawaje vichwa panzi wamekuwa wagumu kuzipata frequencies zangu ili kung'amua codes hizo. Leo sina maneno mengi. Nitawarejelea wahenga wakisema DUA LA KUKU DAIMA...
  14. JamiiForums Tanzania Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Njia gani mnafanya kuku wa kienyeji wazoee haraka

    Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya kuku??

    Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa. Paja lake tuu wanauza 15,000 Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1 Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno. Hii ni mbegu aina gan ya kuku? Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura

    Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa ajili ya chakula tu kwangu
  18. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania Hapa kama tumechekesha kweli:waziri wa vijana ila motivation sio mtendaji ila alikuwa kama msanii wa mr nguruwe,vanira na kuku.

    Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana. Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Nifuge Kuku au Sato?

    Habarini wadau. Nimepata kamtaji hapa ka 10m, Nina eneo la ekari mbili Mkuranga. Enyi wajuvi. Naombeni msaada kwenu. Ufugaji upi unalipa kati ya samaki sato au kuku wa kisasa? Naomba maoni yako hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…