Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (Boniyai), amemtolea uvivu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akisema kuwa madai yake kwamba nchi imejitosheleza na haihitaji misaada ya wahisani ni ujanja wa kisiasa unaolenga kuficha ukweli wa...