kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Argentina kuishitaki Kampuni ya Navitas ya Israel kuhusu Falkland!!

    Argentina itawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kampuni ya nishati ya Israel Navitas Petroleum na makampuni mengine yanayohusika katika uundaji wa hidrokaboni karibu na Visiwa vya Falkland vinavyodhibitiwa na Uingereza, na kuongeza mzozo wake wa uhuru na Uingereza. Waziri wa Mambo ya Nje...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali ambayo watanganyika wanapaswa kujiuliza kuhusu Muungano na Tanganyika

    Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria huku Tanzania Bara ikitumika kama sura ya Tanganyika ndani ya Muungano? A. Kuhusu utambulisho wa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  4. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  5. JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ile imani yangu na uelewa wangu wa utotoni kuhusu "wanajeshi" na "Majaji(Hakimu)" sasa naweza kuuthibitisha

    Nikiwa mdogo kama walivyo watu wengi kuna mambo unakuwa huyaelewi elewi na kadiri unavyokuwa ndivyo unavyoendelea kupata ufahamu Nikiwa mdogo nadhani hadi umri wa kidato cha Pili (hapa sio mdogo tena hii ilikuwa imani) tungegombana endapo ungeniambia "nafaa" kuwa mwanajeshi au uniambie nikiwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

    Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893). Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School). Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848). Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949). Hospitali...
  9. JamiiForums Tanzania Je unajua kuhusu METADATA?

    Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Biblia inavyosema kuhusu kiburi

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA TANESCO, badala ya posti za Wizi na Pongezi tu, Tumieni kurasa zenu kuelimisha Umma kuhusu majanga ya Shoti za Umeme

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
  12. JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Kuhusu Marketing

    Siamini kwamba kazi ya marketing ni kufanya tu watu waione brand Marketing inapaswa kutengeneza mahitaji/demands Sales inapaswa kubadilisha mahitaji hayo kuwa mauzo Operations inapaswa kutimiza ahadi iliyotolewa Na mteja anapaswa kuwa na sababu ya kurudi tena Hii misingi minne inapofanya kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Karibu tupige gumzo kuhusu Biashara ya Duka genge

    Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu, Yaani mtu usiye na tamaa na anasa. ''Decent kind of life,'' Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia. KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?

    Hizi VPN tuna download unatumia free kwa muda wa siku chache tu inaanza kutaka ulipie ndo utumie. Hivi ni VPN ipi haihitaji kuilipia ?
  15. JamiiForums Tanzania SERIKALI YAMJIBU MBUNGE WA KAWE KUHUSU UJENZI WA SOKO LA TEGETA NYUKI

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu. Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura kukabiliana na El Nino nchini

    Mkutano na Waandishi wa Habari Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini. 📆 02 Septemba, 2026. 🕰️ 05:00 Asubuhi. 📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
  17. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto kuhusu siasa za Tanzania

    Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita. Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba. Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Lupita: Tathmini ya kisheria na onyo la kinabii la Nyerere na Ndugai kuhusu ‘kuuzwa’ kwa Taifa

    Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu El -Nino na kupunguza vifo!

    Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari, Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu. Radi zitapiga majengo marefu yasiyo na mfumo wa kuzuia radi, zitapiga magari yasiyo na kuzuizi na kulipuka. Ligi kuu itabidi...
  20. JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu Watu pori & Ghetto boys

    ukwaju wa kitambo na afande sele mwaka 2022
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…