kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu katuni ya masudi kipanya na bashe

    Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo. Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
  2. JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Programming ni nini? Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta. Unaweza ukajifunza...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

    Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mh Mpina ni kidhihirisho Tosha kwa Watanzania kuhusu umuhimu wa kuwa na Bunge lenye Uwakilishi wa Vyama Vingi (Bunge Mseto)

    Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu programmers wa Kibongo na programming kiujumla

    Wakuu kwema Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

    Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  11. JamiiForums Tanzania AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  13. JamiiForums Tanzania Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  14. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu chatu karibu kwenye jamvi?

    Huyu ndie python OG hebu tueleze
  15. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
  16. JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Honda Crossroad

    Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  19. JamiiForums Tanzania Azim Dewji awatuliza Simba kuhusu viongozi

    Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo. Amewashauri viongozi wa Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…