kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekubali ombi la Mabalozi wa nchi mbalimbali walioomba kikao cha kujadili masuala ya kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa lengo la kujadili malalamiko yalitolewa na baadhi ya wawekezaji kutoka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tablets zenye keyboard na mouse.

    Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet? Ikiwezekana na bei zikoje? Asante.
  3. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Kunani Tarura kuhusu Malipo ya Makandarasi

    Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi...
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

    Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000. Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
  5. pappi_santana

    JamiiForums Tanzania Time travel kiundani zaidi

    Quantum physics Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano Time travel Worm holes Time dilations Light&gravity Time travel Ushawahi sikia mtu anatoka future kwenda past au past kuja future ???hii nadharia nadhani wabongo tunaihisi kwenye mamovie tena ya...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali na wafanyabiashara mmekubaliana nini kuhusu bidhaa 8?

    Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  8. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata Award Verification Number(AVN)...Ni mtandao wangu au Mfumo ndio unasumbua?

    Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama. Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
  9. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania JF nauliza vipi kuhusu zile ajira zenu mlizotangaza

    Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira Au...
  10. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusikitisha Kuhusu kujifungulia Nyumbani

    Je wajua 37% ya wanawake kujifungulia Nyumbani Nchini Tanzania? Anyway tuendelee Katika kijiji kidogo huko Pwani, Tanzania, aliishi kijana mmoja mdogo aitwaye Kaanayi, dereva bodaboda mwenye juhudi na upendo mwingi kwa mpenzi wake mjamzito, Ngaremu. Usiku mmoja, Ngaremu alianza kupata uchungu...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

    Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi . Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi . Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili . Soma pia ...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  13. Nyamboboy

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NMB wakala

    Habari za wakati huu. Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi...
  14. cacutee

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo niwape kastory flani kuhusu dear X

    Guys week end naona imeisha sasa mnajipumzisha ili kesho muianze juamatatu kwa nguvu zote. Sasa basi, mwaka huu ulipoanza moja ya resolution nilizokuwa nimefanya ni kuwa karibu na Mungu na kumtumikia kwa nguvu zote unlike Miaka iliyopita ambayo nilikuwa msela msela tu kwa ishu za Mungu kwamba...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Netanyahu alia na Marekani kuhusu msaada wa silaha. Miezi minne sasa imepita msaada hakuna

    Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha Jeshi la IDF. Ni miezi minne sasa imepita bado Marekani hajapeleka silaha Israel. Netanyahu ameamua...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Maana halisi sita (6) za muda. Je, wewe unaelewa nini kuhusu Muda?

    1) Muda u taratibu unaposubiri jambo. 2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo. 3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni. 4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha. 5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu. 6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu katuni ya masudi kipanya na bashe

    Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo. Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
  20. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Programming ni nini? Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta. Unaweza ukajifunza...
Back
Top Bottom