kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Zanzibar_supermotors.

    Wana jukwaa habari ya wakati huu. Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia bei za pikipiki kutoka kwa uzaji mbali mbali ila naona wao bei zao ni chee kiasi kinanitia mashaka...
  3. JamiiForums Tanzania Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kesi iliyofungiliwa na Adv Kisabo kuhusu walipo kina Soka kusililizwa kesho Dar mahakama Kuu

    Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
  6. JamiiForums Tanzania Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo Hollywood wa Israel.

    Wanaukumbi. Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo wa Israel: Adui alidai kulenga roketi 6,000 na drones na alikuwa na furaha kuzuia mashambulizi. Mawazo yao ya Hollywood hata yaliwafanya kudai kwamba walirusha makombora yetu mazito. Bila shaka, hakuna kati ya haya ambayo ni kweli. Muda...
  7. JamiiForums Tanzania DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

    Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni kama vile wazungu waliokinunua wanajifanyia tu mambo yao. Kuna Kalambo falls. Lema kaongea point. Hii...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

    Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauri kuhusu kesi iliyofunguliwa Arusha

    https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

    https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi waitilia shaka kesi kuhusu ngorongoro huko Arusha-wadai ina harufu ya kimchongomchongo

    Baada ya joto kuhusu ngorongoro kupanda, ghafla eti tunasikia eti kulikuwa na kesi mahakama kuu kule Arusha na eti mahakama hiyo imetoa hukumu kupinga amri ya serikali kufuta vijiji. Mijadala inayoendelea ktk duru mbalimbali za wananchi, imeonyesha wananchi kuitilia shaka kesi hiyo. Wanatoa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuishambulia Israel, Iran yabadili gia angani..!!

    Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo (IRGC). "Wakati upo upande wetu na muda wa kusubiri majibu haya huenda...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu. Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

    1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017) 4. Kuna...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…