kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

    Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na kinachotambulika na TCU. Napokea pia ushauri wa kozi nzuri za Afya ambazo mtu anaweza kusoma kwa njia ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  3. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga. Baada ya kupewa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  5. lord commander

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine. Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  7. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
  8. Wakujibwea45

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  11. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NHIF

    WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
  12. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  13. feyzal

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Zanzibar_supermotors.

    Wana jukwaa habari ya wakati huu. Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia bei za pikipiki kutoka kwa uzaji mbali mbali ila naona wao bei zao ni chee kiasi kinanitia mashaka...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kesi iliyofungiliwa na Adv Kisabo kuhusu walipo kina Soka kusililizwa kesho Dar mahakama Kuu

    Mlio Dar fikeni kwa wingi! Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo Hollywood wa Israel.

    Wanaukumbi. Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo wa Israel: Adui alidai kulenga roketi 6,000 na drones na alikuwa na furaha kuzuia mashambulizi. Mawazo yao ya Hollywood hata yaliwafanya kudai kwamba walirusha makombora yetu mazito. Bila shaka, hakuna kati ya haya ambayo ni kweli. Muda...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
Back
Top Bottom