kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tunasubiria Tamko la Lema kuhusu Lissu

    Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile. Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

  7. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Wazungu hawajali kuhusu Demokrasia bali maslahi yao

    Wazungu siku zote hawajawahi kujali chochote kuhusu demokrasia bali wanacho jali wao ni usalama wa maslahi yao pekee. https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=1A5TRtPcP5OBMBvIE3lAow&s=19 https://x.com/BBCWorld/status/1866050983748370941?t=EJrShBe7s07doaM7Z4onDA&s=19
  10. Hujaza Kibaba

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Screen mirroring Television ya LG

    Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550) Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W Serial no : 001EGVJML759 Manufactured January 2020 Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "plea bargaining" itoe mwanga Marekani inaweza kufanya nini kuhusu waasi magaidi wa Syria

    Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa muhimu kwa ajili ya kufanikisha lengo kubwa zaidi kwa faida ya mshitakiwa kupungiziwa adhabu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri mnaohubiri kuhusu kumtolea Mungu nijibuni swali hili

    Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa bilionea kwa kutoa pesa zake? Au huyo Mungu ndio ninyi wenyewe?
  13. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mdau, yapi maoni yako ya Jumla kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania wakuu mnisaidie hapa kuhusu uombaji wa ajira ya jeshi la uhamiaji

    nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?. mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane update kuhusu ajira za uhamiaji zilizotangzwa hivi karibuni

    Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni. Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia. Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  18. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili

    kuna binti yangu kama 22yrs amepewa amepewa mimba na kajamaa baada ya mimi mzazi kugundua nikamwambia mlete mkwe wangu tujuane ,binti alipoenda kwa kajamaa hakurudi baadae akanijulisha jamaa amesema akae atakuja kujitambulisha baada ya mwezi nasubir waje anakuja binti amefukuzwa jamaa hakataki...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fadlu Davids kuhusu Mpanzu: Tutaangalia acheze namba ngapi

    "Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9." "Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi...
Back
Top Bottom