President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar.
He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.
Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210.
Polonium huzalishwa kiwandani kitaalamu Kwa njia ya "Neutron bombardment" ambapo element ya Bismuth...
Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006.
Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu.
Nilipofika elimu ya juu ya...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama.
Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.
Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita...
Ukweli ni:
1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian.
2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati),
kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema.
Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa.
Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo.
"Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni...
UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA
Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani, ofisini au hata nyumbani kwake mbele ya familia. Wapo waliowahi kushuhudia mtu akibebwa kimya kimya...
Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa
Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
Mwaka 1982, kijiji cha Lubasazi kilichopo Kata ya Kolero, Wilaya ya Morogoro Vijijini, kilipata msiba mzito. Mzee wa heshima kijijini hapo alifariki. Halikuwa jambo la kawaida watu walianza kusema yule Mzee hakufariki kifo cha kawaida, kuna mkono wa watu. Baada ya mazishi maisha yaliendelea...
Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana.
Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru.
Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu.
Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.
Leo wakiwa wanaelekea kukamilisha episode ya 4 ya maigizo Yao vijana wao wameshindwa kabisa kuanzisha Uzi kwani wanajua nn kinaenda kutokea hasa baada ya deal kwenda sawa na kuwafidia watoza ushuru kile ambacho wangepata tabora
Nasikia amberruty kahoji kama hawajazi kmc complex kwa Kila mechi...
Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma.
Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza...
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.
Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT.
Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa...
Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.