kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  3. JamiiForums Tanzania Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma kuhusu Israel huu hapa!!!

    Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
  5. B

    JamiiForums Tanzania Discussion yangu fupi na CHATGPT kuhusu filamu za kihistoria

    Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wosia wa Nyerere kuhusu udikiteita

    JE TUMEFIKA HUKU?
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  8. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  9. JamiiForums Tanzania Google play store sasa inaweza kujibu maswali yako yote kuhusu app unayotaka kudownload

    Kampuni ya Google kupitia program yao ya Google play store imefanikiwa kuzindua feature mpya inayotumia muundo wa akili bandia (AI), kwa kuweza kumruhusu mtumiaji wa play store kuweza kuuliza app wanayotaka kuipakua ikoje kama hajaamua kuwa nayo kwenye simu yake. Feature hii inatumia...
  10. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivyo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge

    Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa Ulichukue Hilo yaaani Uwe tayari kupoteza Ubunge.!!. Sasa Uchaguzi ni Mmoja tu, Ukawa Kimya bado...
  11. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu UEFA Champions League

    ๐‘ฏ๐’Š๐’”๐’•๐’๐’“๐’Š๐’‚ ๐‘ญ๐’–๐’‘๐’Š ๐‘ฒ๐’–๐’‰๐’–๐’”๐’– ๐‘ผ๐’†๐’‡๐’‚ ๐‘ช๐’‰๐’‚๐’Ž๐’‘๐’Š๐’๐’๐’” ๐‘ณ๐’†๐’‚๐’ˆ๐’–๐’† ๐Ÿ“๐Š๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ฃ๐š๐š๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐Œ๐จ๐ฅ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐›๐š๐ค๐ข ๐ฆ๐ฎ๐๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐œ๐ก๐ž ๐ฌ๐š๐ง๐š ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฉ๐จ ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ฌ๐ก๐ฎ๐ก๐ฎ๐๐ข๐š ๐Ÿ๐š๐ข๐ง๐š๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š ๐”๐ž๐Ÿ๐š ๐‚๐ก๐š๐ฆ๐ฉ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐‹๐ž๐š๐ ๐ฎ๐ž ๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ฒ๐š ๐๐š๐ซ๐ข๐ฌ ๐’๐š๐ข๐ง๐ญ ๐†๐ž๐ซ๐ฆ๐š๐ข๐ง ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ง๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐Œi๐ฅ๐š๐ง๐จ. ๐๐š๐ฌ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ค๐š๐จ๐ง๐š ๐ง๐ข ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐š๐ฎ๐ฅ๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ญ๐ฎ๐ญ๐š๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ณ๐ข๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐š๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ฎ๐œ๐ก๐š๐œ๐ก๐ž ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐”๐ž๐Ÿ๐š ๐œ๐ก๐š๐ฆ๐ฉ๐ข๐จ๐ง๐ฌ...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    ๐Ÿ“† Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram โ€” boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  14. JamiiForums Tanzania Lema na Heche wakivutana kuhusu bodaboda

  15. JamiiForums Tanzania Wenye uelewa mpana kuhusu ubora na changamoto za bike hii...

    SINORAY 250CC
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara wa Mkata - Handeni hatupingi kulipa kodi, tunapinga kunyanyaswa, kudhalilishwa na kukamuliwa kwa namna isiyo ya haki

    MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU โ€“ MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio cha Wananchi wa Mkata, Wilaya ya Handeni, kufuatia tukio la tarehe 28 Mei 2025 ambapo Wafanyabiashara...
  17. JamiiForums Tanzania Mama Sikiliza Mahubiri ya Kipindi Hiki Kuhusu Anachofanyiwa Tundu Lissu

    Kama utaendekeza falsafa God bless Tundu Lissu
  18. JamiiForums Tanzania Hekima za Dkt Benson Bagonza(PhD) Kuhusu Press Ya Dr Gwajima

    NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE? Kuna mwimbaji aliimba, โ€œBomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga keshoโ€ Na wana mikesha wakaimba, โ€œChocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chocheaโ€. Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, โ€œHERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGUโ€. Nchi ina joto kali...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ