kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu movie ya TENET

    WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
  2. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zanzibar kuahidiwa Meli nne za Uvuvi, kwanini pia wasipewe ndege?

    Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar. Sasa vipi...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu hivi vifaa vya kukuza screen ya simu

    Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
  5. JamiiForums Tanzania Dinasours special thead: unajua lolote kuhusu wanyama kale? Tupeane ujuzi.

    Moderator naomba rekebisha heading hapo juu sehemu ya { thead = thread}
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

    Imamilikiwa na nanni? Kocha wake nani
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

  9. JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  11. JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tv za solar wakuu

    Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza. Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majibu ya Maswali haya yahusuyo COVID-19

    Dah! Mnisamehe tu 1. Kama COVI-19 inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwa njia ya vitone vidogo vya majimaji vinavyotokana na kupiga chafya, kukohoa au kuongea naye. Kwanini marehemu anayedhaniwa alikufa kwa covid19 anaogopewa zaidi ya mtu aliyehai na hajapimwa? 2. Watu wawili, wanaishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…