kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu malipo kwa visa card za bank

    Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA . SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  4. JamiiForums Tanzania CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  6. JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  7. JamiiForums Tanzania Niccolo Machiavelli na kitabu chake The Prince (Of principality). Kwa kiswahili; kuhusu Uongozi. Tusome na kujadili

    KIONGOZI (nimeonelea ndiyo iwe title) Sasa kitabu hiki kinapatikana ndani ya maktaba app (by pictuss). Inapatikana playstore. Kimeandikwa na: Niccolo Machiaveli, 1513. Kimetafsiriwa na: Pictuss, 2021. Email: Pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021 Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli

    Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli. Sheria 12 za ulimwengu zinafikiriwa kuwa sheria za ndani, zisizobadilika za ulimwengu wetu ambazo tamaduni za zamani zimekuwa zikijulikana kila...
  9. JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  10. JamiiForums Tanzania Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

    1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

    Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo SEHEMU YA KWANZA Taharuki kubwa ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  17. JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  18. JamiiForums Tanzania Je, Biblia inasema nini kuhusu kupandishwa tozo za miamala?

    Soma Isaya 10:1-4
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  20. JamiiForums Tanzania Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…