kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tujali kuhusu upatikanaji na uwezo shuleni na maishani?

    I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kitambi kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?

    Mandela Katto anahoji kuwa kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?
  3. JamiiForums Tanzania La kujifunza kuhusu Epstein Saga

    Wanasiasa wa Tanzania wanalakujifunza kuhusu issue ya Epstein. Mjue kuwa mambo yenu machafu mnayofanya ili mbaki madarakani kama mauaji ya October 29 na ushetani mwingine mwingi siku moja yatadhihirika hadharani na maisha yenu na familia zenu yataisha kwa aibu. Kila mtu atawakataa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu Muungano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii. Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano. Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini. 1. Mshahara Wako. Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua. 2. Kazi unayofanya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  10. JamiiForums Tanzania Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  12. JamiiForums Tanzania BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
  13. JamiiForums Tanzania taarifa kuhusu epstain

    🧑‍💼 Jeffrey Epstein alikuwa nani ? Alizaliwa: 20 Januari 1953, Brooklyn, New York (USA) Alikufa: 10 Agosti 2019, Manhattan, akiwa na miaka 66 Kazi: Mfanyabiashara wa fedha (financier), multimillionaire Alikuwa na mahusiano na watu matajiri, wanasiasa na watu mashuhuri duniani. Encyclopedia...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

    Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

    Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu. Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran. Lakini kundi linalounga mkono...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Uume Kuvunjika (Penile Fracture)

    Leo wanajamiiforum tuzungumzie kuvunjika kwa Uume "Mbolo" ambayo kitaalamu uitwa Penile fracture hii hali uwa ni yenye kuhitaji Matibabu ya dharula au haraka yani ni medical emergency 🚨— ingawa ya jina hilo, lakini hakuna Mfupa ndani ya uume. Hii hali inaweza kukutokea ukiwa unaichapa au huko...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa October 29 ilikuwa birthday ya hayati Magufuli, vipi kuhusu March 17?

    Salaam! Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli. Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

    Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo. Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…