Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote.
Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.
Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja.
Je, watu hawa...
Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo washangilie mwanzo mwisho wa mechi zao muhimu. Hata hivyo sayansi ya akili na tabia ya mtu inamtaka...
BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya...
Salaam wakuu.
Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani?
Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu.
Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
Umofia kwenu wana Great Thinkers.
Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamehangaika sana kutafuta ajira. Nimekaa miaka 2 mtaani mpaka nilipokuja kupata ajira mwaka huu.
Kuna websites huwa zina matangazo ya ajira. Sitaki kuzitolea mfano maana sitaki kuchafua website yoyote. Na lengo la hii post sio kuchafua website yoyote ila kushare...
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi.
Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
WanaJf,
Salaam tena!
Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"
Ameongeza...
GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna...
Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi.
Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa.
Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
Good morning members.
Heri ya siku ya wanawake.
Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025.
Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025.
Kwa kwenda mbali zaidi...
Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.