Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
GT
Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano.
Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri.
NRNE
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaotafuta kura kwa kukosoa mifumo ya kilimo ikiwemo mfumo wa pamba, BBT (Building a Better Tomorrow) na stakabadhi ghalani, akisema ni hatari kwa ustawi wa sekta hiyo.
Akizungumza leo ljumaa, Agosti 8, 2025 jijini Dodoma katika...
Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan.
Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania.
Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo.
Bila kumsahau Rais wetu...
Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo.
Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo.
Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
Umemsalimia mjumbe wako asubuhi ya leo?
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni kusikiliza maoni ya wananchi wanapoenda kupiga...
Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki, kwenye michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani ya Nchi (CHAN) 2024 zinazotarajiwa kuanza Agosti 2.
Tanzania...
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Mapema baada ya uhuru mwaka 1961, Tanzania imekuwa ikiimba wimbo wa kujitegemea kiuchumi na kudumisha ujamaa.
Falsa na sera ya kujitegemea ilipamba moto zaidi baada ya kutangazwa kwa Azimio La Arusha mwaka 1967 ambalo lilizingatia mambo kadhaa ambayo waliamini yangetuwezesha kufikia malengo ya...
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi.
Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya .
Muda huu kuna foleni kubwa sana na njia mbovu .
Mkuu wa wilaya ya Ubungo ahadi zako hazitimizi huku wananchi wanateseka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.