Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na nukuu inayodai kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeingia katika mazungumzo na Serikali kwa lengo la kuangalia namna ya kuanza mchakato wa maridhiano, hatua inayolenga kujenga Tanzania yenye...
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi.
Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho mama alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi, kwa kweli tulipitia kipindi kigumu cha...
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye.
Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
TANZANIA, EU KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUELEKEA DIRA 2050
Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Hayo yamejadiliwa katika...
Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kwamba anafadhili viongozi wa upinzani wanaojiandaa kumpinga Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akisisitiza kuwa uamuzi wa nani ataongoza Kenya uko mikononi mwa wananchi.
Akizungumza Kitale wakati wa kumbukumbu ya aliyekuwa Makamu wa...
Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku.
Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza kwamba nchi yake haitumiwi na jeshi la Marekani kuishambulia Iran.
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
26 June 2026
Dodoma, Tanzania
Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?
https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa...
Umekuwa ni kama muendelezo wa maneno yasiyofaa kutoka kwa viongozi wa uvccm kwenda kwa wapinzani.
Ni kweli chama chochote like kilichopo madarakani kinahitaji kuendelea kubakia madarakani mile.
Lkn kulingana na wakati tulionao kwa sasa ambapo Hali ya utangamano wetu kama wana wa Tanzania siyo...
Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya.
Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi ya maandamano ambayo ni haki kikatiba
Vitisho vimeshaanza kutolewa kila kona.. Ni wazi kuna...
Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS.
Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake.
Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup.
Jeraha la Messi...
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia
Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu.
Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa mpango kabambe wa kitaifa wa maendeleo ya nishati ya nyuklia ili kuongeza uwezo wa megawati 1,200 za...
KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026
Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026.
Mgeni Rasmi
Ndugu Anord Mvamba
Katibu Siasa...
Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani.
2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.