Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka...
Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali sanaa na Barafu kushika katika Miji mingi ambayo imepelekea barabara Kufunikwa kwa Theluji na kuleta...
Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mbeya kuna tatizo kubwa, tunaomba viongozi wa makao makuu pamoja na wizara ya Nishati mliangalie hili. Hali ni mbaya sana. Kuna matatizo yafuatayo:
1. Ratiba ya kile kinachoitwa, "upungufu wa umeme" haifuatwi. Pamoja na TANESCO mkoa wa Mbeya kutoa ratiba hiyo...
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.
Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
Kwenye ulimwengu wa Sinema kumekuwa na ubishi kwamba Michael Scofield ni akili kubwa kuliko Raymond Reddington and Vice Versa.
Naomba tuumalize ubishi hapa, je ni nani kati ya hawa wawili ni akili kubwa kumzidi mwenzake?
NB: TUNASHINDANISHA CHARACTERS NA SIO MAISHA BINAFSI YA HAO WAIGIZAJI
Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia.
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani.
Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World.
As of 2023, there are 8 billion people in the...
Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa.
Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza.
Najiuliza mvua hii ikiendelea...
habari zenu
kifupi nimekutana na msala huu.
Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili.
Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja.
Ila wasiwasi...
Nilipokuwa ndo ninaanza kubalehe marehemu Babu aliwahi kuniambia “Ukitaka kuwa na Maisha mazuri na yenye furaha kama mwanaume basi usije kuoa! Mwanamke anakondesha Mjukuu! Mwanamke sio ndugu yako kabsa! Kaa nao mbali!" Sikuelewa hata kidogo ila nilipotimiza miaka kadhaa mbeleni nikaanza...
Wanaukumbi.
Kundi la wanaume wa jamii ya Wayahudi wa Hasidi huko New York walikamatwa Jumatatu huku kukiwa na mzozo juu ya handaki haramu lililochimbwa kwa siri kando ya sinagogi la kihistoria, ambalo limefungwa tangu wakati huo.
Hatua za utekelezaji wa sheria baada ya handaki hilo kujulikana...
Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
Kwema Wakuu!
Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema.
Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows.
It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake.
Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period?
Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
Wanaukumbi.
KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli:
Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza.
Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.