Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo.
Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
Je, umewahi kufikiria kuanzisha biashara ya PlayStation?
Biashara ya PlayStation ni mojawapo ya biashara za burudani unazoweza kuanzisha kwa mtaji kulingana na ukubwa unaotaka. Unawapa watu nafasi ya kucheza video games kwa kulipia muda fulani, kwa mfano dakika 30 au saa moja.
Wateja wako...
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...
Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza: Ikiwa Serikali inaweza kukopa benki kwa kuuza Hati Fungani za muda mfupi (Treasury Bills) na kupewa riba ya asilimia 9, kwa nini wewe ukienda kukopa unaambiwa riba ni asilimia 14 hadi 18? Ni wapi zile asilimia 5 hadi 9 za ziada zinapotelea...
Kama Mungu yupo kweli na Uislamu ni dini ya kweli ina maana watu bilioni mbili tu duniani leo hii ndio wataingia mbinguni, hapo ukichukua Suni, Shia na Waislamu wasioshika dini wote kwa pamoja. Watu wa dini nyinginezo wote tofauti na Uislamu pamoja na wasioamini mungu ni motoni.
Kama Ukristo...
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...
Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia.
1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
Kilichowamaliza CHADEMA ni siasa zisizoheshimu katiba ya Nchi na Maadili yanayolinda vyama vya siasa,
ndugu zangu siasa za kihuni nchini Tanzania hazipo, siasa za kuamini mtatetewa na bunge la Ulaya Tanzania hazipo. Ukizingua unazinguliwa kwa Mujibu wa katiba ya Tanzania.
Ni muda sasa wa...
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...
Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani
Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
Wananjaa...
Ving'ang'anizi
Waongo Waongo, na hawajui hata kudanganya.
Si rudii tena, maana nilikuwa Nime setiwa bonge la surprise kupigwa pesa ndefu,
Yaani mtu unamtumia m1 alafu anakurudishia kisa kupishana sentensi..
Hii ni kusakwa kisaikolojia then siku aje akumemende Hati ya...
Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo?
Tukio la Jensen limenifikirisha sana.
Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China.
Basi...
Salaam wakuu,
Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege nimewahi soma wala kushika engine ya ndege zaidi ya kurusha hizi aviator za online na kupoteza pesa...
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea.
Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa.
Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Huenda ilikua mabadiliko ya sera za "RUKSA" ila Mikoa hasa ya kanda ya ziwa watoto yatima walikua ni wengi na mpaka leo wengi hawajawapata wazazi wao.
Ilo giza la kuvurugika kwa jamii limeathiri jamii nyingi mpaka leo watoto hao wengi wamekua ila wanaishia kuacha watoto yatima tena
Nini kifanyike?
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...
Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?
1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo
3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja
4. Kesi nyingi za kisiasa...