kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

    Waungwana habari ya jioni Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha haya maloba kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha madini adimu kujengwa kijijini cha Ngwala Mkoani Songwe

    Kampuni ya Mamba Minerals Ltd inayowekeza kwenye mradi wa madini adimu imeweka wazi mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kijijini Ngwala Mkoani Songwe badala ya kusafirisha madini hayo yakiwa ghafi. Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi wa zoezi la ulipwaji...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote chaleta neema kwa wananchi wa Mtwara

    Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

    Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali. Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika...
  5. JamiiForums Tanzania Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  6. JamiiForums Tanzania KERO Responded Misugusugu Kibaha: Kiwanda cha kutengeneza pombe kinatiririsha maji machafu na kuzalisha harufu kali eneo lote linalozungukwa na Kiwanda

    Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  8. JamiiForums Tanzania Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  9. JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  10. JamiiForums Tanzania Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

    Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
  11. JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  12. JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa kitanzania atumia Bilioni 5 kujenga kiwanda kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi

    Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe. Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

    Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na TIC (Tanzania Investment Centre) ni kamilishe usajili wa kiwanda

    Baada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani. Swala la kupewa eneo kwa ajili ya uwekezaji eneo la kiwanda teyari na kila kitu. Naitaji kujua TIC itanisaidia vipi maana wengine sio...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Anguko la kiwanda cha urafiki textile mill mpaka kuuzwa kwa nhc kwa tzs 3 billion

    Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
  16. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya viwanda: China yafanikiwa kutengeneza viwanda Cha giza Vinachojiendesha chenyewe na bila taa

    Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda Mapinduzi Yajayo ya Viwanda Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa serikali ayataka makampuni ya utengenezaji wa mabasi ya china kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi nchini

    MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  20. JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…