kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Honda yawekeza Tanzania, yafungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki Dar es Salaam

    Kampuni ya Honda imefungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki eneo la Ubungo, Dar es Salaam, hatua inayolenga kuongeza ajira kwa vijana, kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Kiwanda hicho kitaunganisha pikipiki kwa kutumia vipuri vinavyoagizwa kutoka nje, hatua...
  2. A

    KERO Kiwanda cha kutengeneza matofali katika Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni kinatupigia kelele sana

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku. Mashine zinazotumika...
  3. min -me

    Kambi ya wakimbizi Nyarugusu ni kiwanda cha nyota wakubwa

    Humo kambini nyarugusu kuna vipaji vya kutisha , kwanzia muziki , mpira na hata uchekeshaji. Hawa vijana wa kambini hawana uhuru kamili ila ukiwatazama , wana vipaji vikubwa na ujasiri mara kumi ya vijana wetu. Kuna vijana wakibembe unaona kabisa wangepewa sapoti na serikali yetu...
  4. O

    Serikali Yafufua Mpango wa Bomba la Mafuta la Turkana Kupeleka Mafuta Katika Kiwanda cha Dangote cha KSh3.1 Trilioni Lamu

    Serikali ya Kenya imefufua mpango wa kujenga bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Turkana hadi Lamu, kufuatia uwekezaji wa bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, katika kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta kinachotarajiwa kugharimu KSh3.1 trilioni. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na...
  5. A

    KERO Wawekezaji waliofungua kiwanda kwenye makazi ya watu Mtaa wa Miswe - Pwani wanatutesa kwa kelele za kiwanda

    Kwa niaba ya wananchi wenzangu Wakazi wa Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani, naomba kutoa kero inayotusumbua tangu mwaka 2025. Kuna wawekezaji kutoka Nigeria waliofungua kiwanda cha unga katikati ya makazi yetu. Kero yetu kubwa ni kelele kutoka kwenye mitambo ya kiwanda hicho. Kuna...
  6. A

    HOJA Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?

    Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi? Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
  7. P

    KERO Kiwanda cha Maranile Industries (Misugusugu/Kongowe - Kibaha) kinaendelea kutoa harufu kali na hewa chafu nyakati za usiku wa manane (Saa 7 - 8 usiku)

    Naandika uzi huu nikiwa mmoja wa wakazi wanaotaabika na kero endelevu ya uchafuzi wa mazingira na hewa unaofanywa na Kiwanda cha Maranile Industries Limited, kilichopo eneo la Misugusugu / Saeni (Kibaha, Mkoa wa Pwani). Kiwanda hicho kinachojihusisha na uzalishaji wa Ethanol, pombe kali pamoja...
  8. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  9. H

    Peloo Factory: Mfumo Kamili wa Kusimamia Kiwanda Chako kwa Mfumo Mmoja

    https://youtu.be/Ho9RTwFYJI0 Je, unaendesha kiwanda au biashara ya uzalishaji na unahitaji njia rahisi ya kusimamia shughuli zako zote kwa ufanisi zaidi? Tunatambulisha Peloo Factory, mfumo wa kisasa ulioundwa kusaidia viwanda kusimamia shughuli zao zote kupitia mfumo mmoja. Kupitia Peloo...
  10. Jidu La Mabambasi

    Bodaboda ni kero na kiwanda cha vifo kwa vijana

    Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno. Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa. Vijana huwa wala hawana helmet na wabapakia wenzao wawili au watatu zsidi, naarufu kama mishkaki. Picha hiyo...
  11. A

    KERO Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa - Pwani kuna kiwanda cha unga kinapiga sana kelele

    Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani kuna kiwanda cha unga kilichofunguliwa katikati ya makazi yetu tangu Mwaka 2025. Kiwanda hicho kinamilikiwa na wawekezaji kutoka Nigeria na kimekuwa kikitoa kelele kubwa kutoka kwenye mitambo yake. Kelele hizo zinatusumbua sana, hasa wazee, wagonjwa...
  12. A

    KERO Wakazi wa Makuburi tunalalamikia Moshi wa Kiwanda cha Mkapa Export

    Wakazi wa Makuburi, ninaomba msaada kuhusu moshi unaotolewa na kiwanda cha Mkapa Export kuanzia asubuhi hadi usiku, unatuathiri sana sisi wakazi, lakini mpaka sasa hatujaona hatua zozote za kutusaidia. Kinachotushangaza ni ukimya wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, ambaye tunatarajia...
  13. Zack Abdul

    Kiwanda cha nguo Sinovest Industry Bagamoyo cha zalisha zaidi ya ajira 10,000

    Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa mbalimbali za nguo ikiwemo jezi, T-shirt na boxers, huku tayari kikiwa kimezalisha...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
  15. Mad Max

    Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa; Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi? Au ni winga?
  16. Arch Barrel

    Kiwanda cha kutengeneza Misumari

    Habari wanajukwaa. Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote. Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii, anaweza kuwa bisness consultant wangu ili niweze kushindana sokoni. Ninafikiria kuanza na mikoa mitatu...
  17. M

    Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  18. K

    Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
  19. O

    Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  20. the ostrich eggs

    Kiwanda cha Vioo

    Habari wakuu... Baada ya pilika pilika za siku nimeona fursa ya kuanzisha kiwanda cha Vioo vya kujitizama... Hapa Kahama Naweza vipi pata marighafi na maganga mzuri wa jadi kuzindika kiwanda changu kisife? Ili kusupport Sera ya Serikali ya Viwanda Tanzania.. Mtaji $300,000 tu
Back
Top Bottom