kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    JamiiForums Tanzania Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Misugusugu Kibaha: Kiwanda cha kutengeneza pombe kinatiririsha maji machafu na kuzalisha harufu kali eneo lote linalozungukwa na Kiwanda

    Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  5. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  6. stan john

    JamiiForums Tanzania Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

    Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa kitanzania atumia Bilioni 5 kujenga kiwanda kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi

    Mwekezaji wa Kitanzania, Josiah Mrimi, ameweka wazi changamoto alizokumbana nazo wakati wa kuanzisha kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi, Murikado Food Supply, kilichopo katika kijiji cha Itulahumba, wilaya ya Wanging'ombe, mkoa wa Njombe. Akizungumza siku ya Jumatatu mbele ya Waziri wa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

    Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na TIC (Tanzania Investment Centre) ni kamilishe usajili wa kiwanda

    Baada ya kumaliza process zote za mashine toka nje na kila kitu.Nimepata wazo ambalo linaweza kunijengea mapema ili kujua TIC taratibu kama muwekezaji wa ndani. Swala la kupewa eneo kwa ajili ya uwekezaji eneo la kiwanda teyari na kila kitu. Naitaji kujua TIC itanisaidia vipi maana wengine sio...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Anguko la kiwanda cha urafiki textile mill mpaka kuuzwa kwa nhc kwa tzs 3 billion

    Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya viwanda: China yafanikiwa kutengeneza viwanda Cha giza Vinachojiendesha chenyewe na bila taa

    Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda Mapinduzi Yajayo ya Viwanda Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
  13. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa serikali ayataka makampuni ya utengenezaji wa mabasi ya china kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi nchini

    MSEMAJI mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameyaomba makampuni ya utengenezaji wa mabasi kutoka nchini China kuja kuwekeza kiwanda Cha utengenezaji wa mabasi hayo na vifaa vyake Ili Watanzania wajifunze Teknolojia na kupata ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi ya kampuni...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  16. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant).

    Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant) ni mtambo au mfumo wa viwanda unaotumia taka ngumu (kama vile plastiki, karatasi, mabaki ya chakula, na taka nyingine zisizoweza kutumika tena) kuzalisha umeme, joto, au nishati nyingine kwa njia ya mwako (incineration), gasification...
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  19. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mapenzi

    KIWANDA CHA MAPENZI 1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara Na manyakanga mkupi, mje kupata amara Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira 2 Kipo huko chumvini, mkoa Tanga mjini, Mwachimba chini kwa chini, mkitafuta madini Kazi hii ya thamani, na ghali...
  20. long live my love

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
Back
Top Bottom