kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi ya washirika wa Marekani yaendelea kutanda

    Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

    Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch Oya Acheni hizo basi wazeee Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

    Polepole amendelea kutufumbua macho. Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale! Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe? "Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali." Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani ajenga kiwanda cha bilioni 14

    Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha bilioni kumi na nne kitakachoajiri vijana 400 na kusaidia kutatua changamoto ya ajira. Bw. Musa...
  8. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  9. JamiiForums Tanzania Kiwanda kinauzwa Kizota Dodoma. Anayehitaji tuwasiliane

    Kiwanda Kinauzwa Kiwanda kinauzwa kikiwa Kizota, Dodoma. Ukubwa wa kiwanja ni 3,770 sqm, eneo lipo sehemu nzuri na linatoa fursa mbalimbali za uwekezaji. Bei ni bilioni 2, na maongezi yapo kulingana na makubaliano. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia picha zitakazofuata au tuma ujumbe mfupi...
  10. JamiiForums Tanzania NEMC yakomesha uendeshaji holela wa kiwanda mtaa wa regent estate

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Bilioni nne ujenzi kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala

    RAIS SAMIA ATOA BILIONI NNE UJENZI KIWANDA CHA KUZALISHA NISHATI MBADALA 📌Kiwanda kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa nishati safi nchini 📌REA kugharamia ununuzi wa mtambo wa STAMICO 📌Stamico yapania kusambaza Nishati Safi ya Rafiki Briquettes kila kona Serikali kupitia Wakala wa Nishati...
  16. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General tire - Arusha

    Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia wachukue pale.nk Bila kusahau soko la kawaida la secta binafsi; Hivi si tutakuwa tume serve mabilioni ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  18. JamiiForums Tanzania Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…