kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  3. JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  4. JamiiForums Tanzania Umeme na usalama wa nyumba, Kiwanda au mitambo yako

    ⚠️KWANINI UKATE TAMAA NA KUIONA KAZI YAKO CHUNGU? Umechoshwa na: ❌ Cable na Vifaa feki vinavyochelewesha kazi na kuhatarisha usalama site? ❌ MCB zinazokatika bila sababu? ❌ Wasambazaji wasio na uelewa wa kiufundi? ❌Kufanya Biashara na Watu Wasio Waaminifu? ✅SULUHISHO LIMEPATIKANA Rafiki...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

    Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
  6. JamiiForums Tanzania Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga. Yaani fursa ipo hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wazo la uchumi kwa Tsh.50,000,000 kwa kijana: Uundaji wa kiwanda cha Nguo

    Habari Waziri wa Vijana Tanzania !. Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=). Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on progree products) yaani kuchakata kitambaa kuwa nguo au vazi kamili( Finished products). Kupitia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  11. JamiiForums Tanzania Njooni Tujichange Twende Tanga Tujenge Kiwanda Cha Kusafisha Mafuta Ghafi (Petroleum Refinery). Mafuta tutanunua Uganda

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Tanga. Yaani fursa ipo hapa tutakua tunanunua mafuta yanayopita...
  12. JamiiForums Tanzania Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

    Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa, https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️ Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
  14. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Maziwa Mara kiko wapi leo?

    Habari za Tanzania ! Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ? Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli dah. Haya bana si ndio mambo yenu kuua viwanda vizuri na kuanzia viwanda vibanda vya kutuuzia maziwa...
  15. JamiiForums Tanzania Finally: Nchi yetu 🇹🇿itapata kiwanda cha kutengeneza mabasi kitakachowekwa pale Kisarawe, Pwani

    Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ kutoka Ulaya kwa ajili ya kubeba Abiria wa ‘Mwendokasi’. Kiluwa ameyasema haya leo January 19 Jijini...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tumeshindwa kuwa na kiwanda cha kupokea takataka na kupata umeme, gesi, mbolea na malighafi?

    Nahisi serikali ya CCM inapenda wale wawekezaji wasiotaka mema nchi wala kuona inapiga hatua mbele. Vyanzo vingi vya uchafu vinaweza kuwa recycle na kuwa na faida. Mfano mpaka sasa tumeshindwa kwenye majiji kutatua shida ya maji wakati mitaro ya maji,mito na vyanzo vingine ikawa msaada...
  17. JamiiForums Tanzania Mpango wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli

    Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani. "Niliidhinisha jumla...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda Kidogo

    Naomba hapa wadau wenye utaalamu watupe shule kidogo. Kuhusu gharama za kuianzisha kiwanda kidogo. Tuchukulie product kama sabuni za vipande au maji ya kunywa at very small scale unaweza anza na kiasi gani? Na product nyingine wadau mnaweza kutupa idea. Zingatia mtaji mdogo lakini kiweze kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

    Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko yapo ila viwanda hakuna.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…