kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  2. Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

    Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe. Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa. Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa. Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora, Ikiwa unaimani ya ufanisi...
  3. Hii Kitu haiwezi Kutokea KAMWE.

    Nawaza tu. 2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi. Alaf Imma akaamua kwenda Chadema. Mind you Lissu pia yuko Huru. Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥 Yale ya 2015 yatajirudia. Anyway . Haiwez kutokea hili. NB: Tumeona...
  4. Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  5. Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

    Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;- Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani, Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali, Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa, Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA, Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana...
  6. Alivyosema tu MCHAKATO nikasema hapa hakuna kitu

    Hivi na nyie mliamini au mnaamini kua atawapa katiba Mpya ndani ya hii miaka 5 hadi 2030? Kama unaamini hivo basi polee sana tena polee sana. Uongo wa kudhihirisha hayupo tayar kutoa katiba Mpya ilikua kusema neno MCHAKATO. Hivi kuna Mtu hajui nini maana ya neno MCHAKATO? Ujue Mchakato in...
  7. Bwana Mungu ndiye mchungaji wangu mwema, sitapungukiwa na kitu

    https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ zaburi 23 Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso. Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu. Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
  8. Wakuu nimeona hiki kitu hotelini

    Wakuu nimeona hiki kitu hotelini ndani ya chumba!! Niambieni n nni Afu kina waka waka taa baadhi ya muda kama camera
  9. Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

    Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo. Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa. Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
  10. Kuna maisha baada ya kifo au tukifa ndio mwisho wa kila kitu

    Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu? Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako...
  11. Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  12. Mtu akifika tu bei nauzaga kitu changu bila kupanga

    Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani. Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni. Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
  13. H

    CCM wametengeneza uadui na Wananchi badala ya kubakia wa vyama tu kitu ambacho ni hatari zaidi wajitafakari

    Kipindi cha Magufuli madarakani alivipiga pin vyama vya upinzani lakini moja kati ya kitu alikiweza ni kugusa raia wengi hasa wale wa Hali ya chini na ndio maana akawa anasapoti kubwa ya watu akifanya Mambo mengi makubwa kulikuwa hakuna suala la kukatika umeme na ikitokea lazima uone Taarifa...
  14. Kama ulikuwa hujui ni nani hapa Tanzania akiongea kitu hadanganyi wacha nikufahamishe - ni DUDUBAYA

    Kama ulikua hujui ni MTU GANI HAPA TANZANIA AKIONGEA KITU HADANGANYI wacha nikufahamishe;- Mtu ambae akisema kitu haongopi ni DUDUBAYA, Huenda ukabisha kuhusu hiki ninacho kisema, Kwasababu watu wengi humchukulia DUDUBAYA kama mvuta bhangi na mtu wa hovyo, Lakini ukweli ni kwamba...
  15. K

    Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  16. Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  17. KERO TCRA mpo kwa ajili kitu gani maana huduma za mawasiliano ni makanjanja kiutendaji

    Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile. Leo...
  18. K

    Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
  19. Kila kitu kinachotokea huwa kina maana yake!..(not a joke)

    Kila kitu ukionacho pengine ukakipuuza huwa na maana yake halisi.
  20. Ukiwa unashiriki tendo na mpenzi au mke wako ni kitu gani unaweza ukafanya wakati huohuo?

    Mimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae. Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'. Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…