kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  2. L

    Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  3. D

    Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

    Amewahi kutokea wapi 'fighter' anayependa chakula kama huyu?!!! Anayekula mpaka anataka kupasuka?!!! Mi sielewi elewi tu. Nawasilisha Huku nikiwa na Imani mliotembea na kusoma mtanielimisha. Binafsi sijawahi kuwa na jambo nyeti la kulishughulikia halafu nikawa mfakamia chakula kiasi kile.
  4. instinct desire

    Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  5. AXIOM APEX VERBOSE

    Hivi unajisikiaje unapoambiwa kitu ambacho haukukitarajia kuambiwa?

    Kwa mfano Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako ili uweze kupona na afya yako kurejea kama ilivyokua mwanzoni. Unaambiwa acha pombe walau siku 365...
  6. K

    Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

    Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto) Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie. Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utusikie. – Kristo utusikie. Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize. Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie. Mungu Mwana...
  7. Red black

    Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

    Niko hapa kujifunza Zaidi.
  8. comrade_kipepe

    Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli. Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
  9. Equation x

    Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  10. idiomer

    Nilimpa kila kitu ? Wanawake wanamaanisha nini?

    Wanawake wanaposema nimempa kila kitu lakini bado akaniacha huwa wanmaanisha nini?
  11. M

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
  12. Binadamu Mtakatifu

    Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  13. Red black

    hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

    Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote...
  14. nadiegirlie

    Kama kusingekuwa na madhara kitu gani ungependa kufanya?

    Kuna kile kitu unatamani kukifanya ila unaogopa matokeo baada ya kitendo,ni kitu gani hicho?
  15. Hyrax

    Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  16. incredible terminator

    Miaka 30 ya BONGO FLEVA pasipo kumkumbuka mkali voice wounder hamna kitu

    Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc Bado nitaendelea kuamini ile...
  17. TADPOLE

    P-SQUARE SAGA: PETER OKOYE AFUNGUKA KILA KITU — FEDHA, JUDE, PAUL, EFCC, NYUMBA, NA MIGOGORO YA FAMILIA

    Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi za muziki Afrika. Peter ametoa simulizi yake kupitia mfululizo wa video unaofikia Part 8/8b...
  18. Mawazo255

    Niliomba tsh 20,000 leo... Lakini kuna kitu kikubwa zaidi nilichokipata

    NILIOMBA TSH 20,000 LEO... LAKINI KUNA KITU KIKUBWA ZAIDI NILICHOKIPATA. Leo nimejifunza kwamba maisha yanaweza kukushusha mpaka ukafikia hatua ambayo hukuwahi kufikiria. Unaweza kuamka ukiwa na ndoto kubwa, halafu jioni ukawa unajiuliza utatoaje siku. Leo niliomba msaada wa TSh 20,000. Sioni...
  19. Pendaelli

    Norway Fund ni kitu ambacho kinapaswa kuigwa na serikali ya Tanzania kwa mustakabali wa kizazi kijacho

    Amani kwa wote. Naomba kujenga hoja yangu katika msingi wa mustakabali wa taifa kwa vizazi vinavyo tuandama. Mimi kama baba ambaye nina watoto , moja kati kitu kinacho nipa mawazo makubwa ninini nitawaachia watoto wangu, na kizazi kinacho tokana na mimi. Wazee wangu walishindwa kacha...
  20. Website Tanzania

    OFA: Nitakutengenezea Website ya biashara au Kampuni kwa 200,000 tu!

    Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako. Ikijumuisha usajili wa jina la website Hosting ya mwaka mzima Utapata emails rasmi za website yako. Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako. Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
Back
Top Bottom