kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DOKEZO Responded Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  2. Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  3. Ni kweli mwanamke anahudumiwa kila kitu?

    Hope mmeamka salama Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k. Kifupi haelewi...
  4. Nahisi hapa Harmonize anataka aje atupige na kitu Kizito

    Jamaa Ngoma yake anayotaka kutoa ameiweka kwenye awaiting mda Sana na imepata view laki moja , nahs akija kutoa Ngoma ataunganisha na Hz views ionekane Ngoma imetambaa Kwa mda mfupi na kupiga namba Kali ya views..... Nawaza tuu , wataalamu wa haya mambo mtujuze.
  5. Kitu gani kinapeleka watu mkiwa kwenye privacy zenu muji record?

    Ndugu sikuizi watu wengi wakiwa kwenye faragha wanapenda kujirecord na wanatoa ushirikiano mzuri tu, sasa sijajua sababu hasa ya kujirecord ni ipi? Wengine mnasema et for feture use feture ipi inaweza kuja kutumia izo video zenu za faragha na zikivuja mnaaza kulia
  6. Baada ya kuagiza Pizza kwa miaka 10, ghafla kuna kitu hakikuenda sawa!

    Ilikuwa ni mwaka 2020, anajulikana kama Alexander Kirk alikuwa ni mmoja wa wateja kindaki ndaki wa Pizza katika Duka la Domino. Majirani wanasema ni mtu ambaye ni mara chache kuonekana mtaani na hata alipokuwa anagongewa mlango basi ilikuwa ni mara chache sana kuitikia au kufungua mlango...
  7. R

    Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

    Bi Queen apiga magoti na kusema anachohitaji zaidi yeye kwa sasa ni Amani, na kwamba yuko tayari kumuachia Mwaka kila kitu ili abaki na amani na kulea watoto wake. Amesema kuwa anatamani mwisho wao uwe na amani, na kama kuna chochote Dkt. Mwaka anakihitaji basi amwambia ni njia zipi apite...
  8. eSIM ni kitu gani? nini tofauti yake na SIM(Line za kawaida)?

    Wakuu nimeona baadhi ya simu zinakuwa na sehemu ya SIM na eSIM. ni sawa na hizi zenye dual SIM? Line za eSIM ni kitu gani. Tofauti yake na line za kawaida nini? Unaweza kuzitumia Bongo? Natanguliza shukrani.
  9. Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  10. Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

    Mwanzo huwa ni vitisho na kupewa presha juu ya balaa utalokutana nalo wakiweka mambo wazi, kinachofuata huwa ni utiifu wa kutenda wanayotaka, baada ya hapo ule muendelezo wa kutii kila mara mhanga anaanza kuchoka na hata anaetoa amri kuhisi anapata kidogo inabidi apewe zaidi. mifano...
  11. Hiki kitu hakiwakeri wadada

    Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha? Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura mbaya hadi kero wamepauka? Sasa nyie mlitaka mtu kama Beyonce utampataje tuambie tu . Sema kama...
  12. Hamna kitu kibaya Kama harufu ya bahari, mzazi shtuka

    Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop. Ogopa mikoa ifuatayo Dar Pwani Lindi Mtwara Tanga Zanzibar Na mikoa ya jirani na hiyo.
  13. Hatimae Serikali imekubali kwamba hakuna kitu kinaitwa kipaji maalumu

    Hatimae Serikali imeanza kutoka kwenye zama za ujinga za kutenga shule kadhaa na kuziita za vipaji maalumu. Serikali kusitisha mfumo wa kutangaza mwanafunzi wa kwanza sijui wa mwisho ni mwanzo mwema wa kuhama kutoka kwenye ujinga/zama za giza na kwenda kwenye mwanga na kuleta mapinduzi kwenye...
  14. Nunua kitu kwa kuzingatia unahitaji nini hasa kutoka kwenye bidhaa husika

    Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana. Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa. Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
  15. Vituko vya jikoni, ushawahi fanya kitu gani wakati unapika?

    Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya. Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
  16. Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

    Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha? Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche? Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya...
  17. Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

    Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi. Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa...
  18. Ni kitu gani Mpishi akifanya anakuwa kaharibu Ubora wa Chakula?

    Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho. Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili. Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata...
  19. Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

    Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi. Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
  20. Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

    Kiukweli Tanzania sijui tunaelekea wapi hakuna cha wasanii wala habari kule youtube. Yaani hawa wasanii wanaojiita wachekeshaji aka comedy wa Tanznaia. Unafungua YouTube ukiona tu page zao basi neno linatangulizwa "utacheka" sasa ucheke wakati sijaona kinacho chekesha. Msanii anaanza kucheka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…