kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

    Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali. Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira...
  2. LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

    Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu, Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
  3. Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

    Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu. Nilipofika sehemu ya kuvuka barabara, nilihisi wasiwasi mkubwa. Pikipiki zinakuja kwa kasi, magari nayo yanapita...
  4. R

    Kwahiyo leo kila kitu kinafungwa na kutiwa muhiuri kusubiri hukumu

    Tuelimishane au vipi? Manyanza Mshana Jr
  5. Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  6. Urais siyo kitu cha kuchezewa na mamlaka ya Rais hayajaribiwi

    Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria...
  7. Jifunze kitu kupitia ujasusi

    Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii. 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 **Unatuma maofisa wa usalama au majasusi tofauti kama 5 bila wao wenyewe kujuana ili kuchunguza taarifa...
  8. Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  9. L

    Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  10. D

    Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

    Amewahi kutokea wapi 'fighter' anayependa chakula kama huyu?!!! Anayekula mpaka anataka kupasuka?!!! Mi sielewi elewi tu. Nawasilisha Huku nikiwa na Imani mliotembea na kusoma mtanielimisha. Binafsi sijawahi kuwa na jambo nyeti la kulishughulikia halafu nikawa mfakamia chakula kiasi kile.
  11. Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  12. Hivi unajisikiaje unapoambiwa kitu ambacho haukukitarajia kuambiwa?

    Kwa mfano Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako ili uweze kupona na afya yako kurejea kama ilivyokua mwanzoni. Unaambiwa acha pombe walau siku 365...
  13. K

    Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

    Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto) Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie. Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utusikie. – Kristo utusikie. Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize. Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie. Mungu Mwana...
  14. Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

    Niko hapa kujifunza Zaidi.
  15. Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli. Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
  16. Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  17. Nilimpa kila kitu ? Wanawake wanamaanisha nini?

    Wanawake wanaposema nimempa kila kitu lakini bado akaniacha huwa wanmaanisha nini?
  18. M

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
  19. Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  20. hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

    Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…