kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini wanawake wengi wanapenda kusema, "NILIKUWA NA...", hata kama kitu wanachokisema kiko kwenye wakati uliopo?

    Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano. 'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi. 'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani. Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi? Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
  2. Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  3. HESABU kitu cha ajabu

    Ulifanya ACSEE ukapita vizuri. Maths ukapata A😎 Kwa sababu wewe na hesabu mlikuwa kama mapacha waliozaliwa siku moja, ukaamua kuingia university uchukue Statistics, Pure Mathematics na kila course yenye namba ndani yake. 😂 Ukasema: “Mimi si fala bana. Dunia inahitaji kujua uwezo wangu.” 😂...
  4. Kitu gani ulihusishwa nacho au unahusichwa nacho lakini hukuhusika

    Inawezakutokea jambo liwe zuri ama baya watu wengi wakaamini wewe ndo muhusika lakini ukweli wewe unafahamu haujahusika kabisaa. Mfano ninapoishi kazini kwangu nipo na rafiku yangu mmoja wa kike kwa sasa tuna miaka zaidi ya miwili tupo wote kirafiki tu ila watu wengi sanafikiriaga nagembea nae...
  5. Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Niaje wakuu? Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni. Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
  6. Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  7. Foot School TV: Chaneli Bora ya Soka Iliyotufunza Ufundi

    Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia. Basi StarTimes naye...
  8. Kuchapiwa sio kitu cha ajabu tena.

    Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao? Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama? Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi? Inamaana hajui kuwa jike...
  9. Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  10. Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  11. Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
  12. Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  13. Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  14. Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua?

    Kichwa cha Habari: Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua? Wakuu salamu, Nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa idara yetu ya ugolikipa pale Jangwani, na kwa kweli kama shabiki na mdau wa soka, siko sawa hata...
  15. Maisha ya dunia na kifo — Kwa nini tunakimbilia kitu ambacho hatutaki kukipoteza?

    Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani. Haitajali una followers wangapi. Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
  16. Inawezekana Mungu alisahau kutuweka miguu iwe ina shika kitu kama nyani

    Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu. Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo kwenye kujishika vinajishika kwe nye kuruka miti /matawi yaani miguu ya mbele ina vidole vinajishika...
  17. Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

    Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa. Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume. Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi. Aidha, zamani binti...
  18. Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

    Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi.. Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
  19. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…