kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikiwa sina hela kila kitu nakiona kero na nakuwa na hasira sana

    Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero. Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu. Kuna wakati...
  2. Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
  3. Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  4. Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

    Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
  5. Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

    Salama wakuu? Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida. Kuna bullying za aina tofauti kama •...
  6. Je, umepoteza kitu nyumbani kwako? Fanya hivi ili kukipata..

    Glasi iliyopinduliwa chini juu inanasa utupu unaoficha kile ulichopoteza nyumbani kwako Unapojua kuwa kipo mahali fulani ndani ya nyumba lakini umetafuta kila kona na bado hakionekani, ni kwa sababu utupu wa nishati unaficha ulichopoteza. Utupu huo unaweza kunaswa chini ya glasi. 1.Chukua glasi...
  7. M

    Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

    1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
  8. R

    Kila kitu ni mali ya CCM

    Vyoteeeeeee
  9. Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

    Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba. Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
  10. Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

    Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
  11. M

    Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

    Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu. Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
  12. Hivi kuna kitu ambacho wachina hawali?

    Hawa jamaa wanakula kila kinachotembea. Nimejaribu kula minofu ya nyoka na chura nimeshindwa aise nimeishia kutapika😁
  13. Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    1.Ndio kipaumbele cha kwanza cha Msambaa anapopata kazi mpya. 2.Msambaa anapenda gari Aina ya fuso kuliko Kitu chochote Duniani, ukimpa billion 100 na fuso yeye atachukua fuso. 3. Wanawake zao ni pisi sana
  14. M

    Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  15. Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  16. M

    Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  17. Angalizo tu pale unapoenda kumu approach mdada mwenye makalio makubwa hakikisha hayupo na rafiki yake alie flat. Hautaambulia kitu

    Kila demu mwenye makebo makubwa lazima awe na rafiki yake huyo alie flat, ana mdomo sana, ni kama body guard wake
  18. The Voices From Within: Japo Wamenyamaza Kama Mazuzu, na Hawaulizi Kitu, Ila wana Macho na Masikio,Wanatamani Wawe Wanaelezwa Ukweli, No Matter What!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
  19. Wakuu, kuna kitu kidogo tu hapa…

    Hii dunia ina mambo sana. Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine. Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza: "KAKA PAMBANA." Mwingine: "TAFUTA KAZI." Mwingine: "SI UZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…