kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  2. apostleonesmodeus

    Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  4. M

    Kitabu cha uchawi kidigitali

    Katika ufalme mdogo wa kidijitali, watu waligombana mara kwa mara kuhusu nani anamiliki nini. Kulikuwa na vitabu vingi vyenye hadithi tofauti, jambo lililosababisha machafuko na udanganyifu. Siku moja, mvumbuzi mwenye hekima alitengeneza kitabu cha kichawi kinachoitwa Blockchain. Kitabu hiki...
  5. LIKUD

    Nimetoka kudownload kitabu chake last week leo nakutana na news amejiua. Nakichoma moto kitabu chake sikisomi.

    That's why the book was moving very slowly. Nilisha soma kama page 10 za kitabu chake. Mwanasaikolojia anae heshimika kama huyu anajiua? What pushed him that low? Moral of the story: Tuache kutukuza mawazo ya watu wengine. Instead tutukuze mawazo yetu wenyewe. Kwa mfano kitabu " 48 laws of...
  6. Tajiri Tanzanite

    Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  7. Ojuolegbha

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  8. Wang chung

    Jina la kitabu :Jinsi ya kuendelea kuwa maskini

    Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
  9. Skull dance

    Kitabu cha Adam na Hawa

    Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia. Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
  10. Mohamed Said

    "Ujanajike" Kitabu Kilichoshinda TUZO ya Fasihi

    "UJANAJIKE" KITABU KILICHOSHINDA TUZO YA KISWAHILI YA CORNELL YA FASIHI Mwandishi wa kitabu hiki Dotto Rangimoto kaniletea kitabu hiki nimekikuta nyumbani tena "autographed." Bahati mbaya lau nilikiona na nikakifungua sikuona kuwa kilikuwa na jina langu na sababu ni kuwa nilikuwa nimetoka...
  11. joseph_mbeya

    Kitabu cha Core Genius by Joel Nanauka

    Core Genius ni kitabu kinachotufundisha jinsi ya kugundua na kutumia kipaji chetu cha kipekee ili kufanikisha maisha yetu binafsi na ya kitaaluma. Joel Nanauka anafafanua kuwa kila mtu anayo “Core Genius,” yaani uwezo wa kipekee ulio ndani yetu ambao, tukiuendeleza, unaweza kutufikisha kwenye...
  12. THE BEEKEEPER

    Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

  13. Dogoli kinyamkela

    KUTOKA KWENYE KITABU CHA NGUVU YA MIMEA

    KUTOKA KWENYE KITABU CHA NGUVU YA MIMEA Choma Kuni za mpaina ili kuvutia pesa ndani ya nyumba
  14. M

    Lema anahitaji ushauri wa saikolojia, hayupo sawa. Atunga kitabu kuhusu Mbowe

    Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
  15. Black Walker

    Msaada wa soft coppy ya kitabu cha "stop lying to yourself" by Simon Gilham.

    Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
  16. Dogoli kinyamkela

    Kutoka kwenye kitabu cha namba

    KUTOKA KWENYE KITABU CHA NAMBA NAMBA YA BAHATI : NAMBA 21 ili kuvutia bahati nzuri na furaha, rudia namba "Ishirini na moja." Kwa sababu hii ni namba ya neno"furaha", hii ni kwa sababu ukibadilisha neno furaha kuwa namba unapata namba 21. Katika maisha, namba 21 hubeba nishati nzuri kwa...
  17. Nyani Ngabu

    Legacy Media ya Tanzania imekipuuza kitabu cha Kabendera?

    Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao. Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti. Ni madai ambayo mtu unategemea...
  18. T

    PreGE2025 Kwa hiki Kitabu cha Erick Kabendela. Nashauri 2025 CCM au CHADEMA wamruhusu agombee Urais

    Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais. Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa. Mtu kama kabendera atatusaidia sana. Ana exposure kubwa. Na anaaminika sana na wakubwa hasa usalama...
  19. Megalodon

    Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
  20. Mohamed Said

    Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
Back
Top Bottom