kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Makanyaga

    Voynich Manuscript: Kitabu kikubwa kilichoandikwa Karne ya 15 ambacho mpaka leo maana ya maandishi yake haijaweza kujulikana na wasomi duniani kote

    The Voynich Code - The Worlds Most Mysterious Manuscript - The Secrets of Nature Ni kitendawili cha muda wa taktiban miaka 600 Mnamo 1912, muuzaji wa mashirika ya kale aitwae Wilfrid Voynich aligundua nakala ya kushangaza. Haikuwa imeangaziwa au imeangaziwa vizuri, kama maandishi...
  2. lutemi

    Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness." The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to potentially use as a biological weapon during wartime. The lab is ironically located in Wuhan...
  3. YEHODAYA

    Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

    Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua? Sababu...
  4. S

    Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  5. Mzee Mwanakijiji

    NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

    (Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma) UPDATE: Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa: Mbeya Piga Simu: 0759829015 Arusha Piga Simu: 0716505921 Dodoma Piga Simu...
  6. MSEZA MKULU

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa...
Back
Top Bottom