kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  2. R

    Tafsiri ya hovyo ya namba 666 kwenye kitabu cha Ufunuo

    Wakristo tuache ujinga. https://youtu.be/MLxIyMnviyI?si=wDL9LaVjN_QjTG04
  3. G

    TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  4. Infropreneur

    Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
  5. mwehu ndama

    Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  6. Mohamed Said

    Kitabu Cha Maisha ya John Lyimo Mwanasoka Nguli wa Tanganyika Enzi za Gossage Cup

    Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka. Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
  7. Zack Abdul

    Muhtasari wa Kitabu cha The 48 Laws of Power The 48 Laws of Power

    The 48 Laws of Power, kilichoandikwa na Robert Greene na kuchapishwa mwaka 1998, ni kitabu kinachochambua dhana ya madaraka, ushawishi, mikakati na tabia za binadamu. Kwa kutumia mifano kutoka katika historia, siasa, vita, biashara na siasa za ndani za tawala, Greene anaainisha kanuni 48...
  8. 2

    Nchimbi angesoma na kuzielewa sheria zifuatazo kwenye kitabu cha 48 laws of power kingemsaidia sana

    Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46 Never Outshine the Master Pose as a Friend, Work as a Spy Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous Master the Art of Timing Think as You Like, But Behave Like Others Never Appear Too Perfect
  9. britanicca

    Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
  10. Wakili wa shetani

    Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    Tafsiri ya kiswahili ya kitabu How to win friends and influence people by Dale Carnegie. KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa...
  11. Wakili wa shetani

    Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa, mhalifu aliyejulikana kama Crowley “Bunduki mbili”, muuaji na jambazi wa kutumia silaha ambaye...
  12. D

    Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  13. MakinikiA

    Taswira ya kitabu cha historia ya Samia Hasani kitakuwaje

  14. Mohamed Said

    Yaliyotokea Baada 1998 ya Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kuchapwa 1998

    https://youtu.be/-L6k_ia30o0?si=5Ck-gQBXk6Kia5HR
  15. F

    NIPIKE NINI LEO ni kitabu bora cha mapishi kutusaidia tunaopata stress na kuwaza cha kupika kila siku. Pia kinawafaa wagonjwa wa kisukari, presha,etc

    1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
  16. Mohamed Said

    Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  17. Mohamed Said

    Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  18. Mohamed Said

    Historia fupi ya kitabu cha maisha ya Abdulwahid Sykes

    Kila mchapaji nikimpa publisher atakaa na kitabu kile... kitabu kizuri sana lakini m siwezi kukichap kitabu... Haya mambo uliyoandika huyu bwana matatizo." Kuhusu madai ya kuwa na "obsession" na familia ya Sykes: "...watu wengine wanasema Mohamed una obsession... na family ya kina saambia ni...
  19. Mohamed Said

    Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kimewasili

    Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu. Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media...
  20. Fbn

    Mwenye kutengeneza kitabu kwa jina :Hofu ya kumiliki madaraka mwisho wake.

    hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
Back
Top Bottom