kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  2. Yoda

    Bad News: Kijana wa Sri Lanka kunyongwa Saudi Arabia kwa kumkashifu Muhammad.

    Mfanyakazi mhamiaji Mtamil kutoka Sri Lanka, Sivarasa Anojan, amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia kwa sababu ya maoni aliyoyaandika kwenye Facebook ambayo yalionekana kuwa ya kumdhalilisha Uislamu na Mtume Muhammad. Kesi hiyo ilianza baada ya video kusambaa nchini Sri Lanka ikimuonyesha...
  3. Alexido jz instagram

    Kijana amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, atokomea nacho

    Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho. Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne. Baada ya kutekeleza shambulio hilo...
  4. Jidu La Mabambasi

    Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha. UPDATE...
  5. M

    India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  6. M

    Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  7. secretarybird

    Kijana unayejitafuta jifunze kula pilipili kwa wingi! Hii itakusaidia sana

    Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga. Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula pilipili kwa wingi. Yaani tia pilipili nyingi kwenye mboga na hata kwenye ugali ikibidi, huyo...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tahadhari unapotea Mwananyamala. Je mmesikia habari ya kijana wa Kinyasa aliyeua watu wanne kwa kuwakata kwa panga?

    Huko Mwananyamala kuna kijana wa Kinyasa, mpaka sasa ameshawaua watu wanne kwa nyakati tofauti na mpaka sasa hajakamatwa. Ukiwa pande hizo hakikisha unatembea kwa tahadhari ya hali ya juu.
  9. R

    Kijana mdogo mtoto yule atanijibu nini?

    Àmekadharau kweli!
  10. Hepatis B

    Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  11. Crocodiletooth

    FUNGUA AKILI YAKO KIJANA ACHA KUZUNGUSHA MIKONO NA CHADEMA!,JAMAA WAPO KAZINI KWAO!,WEWE UNAZUNGUSHA TU.

    #Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti! 1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu. 2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!). 3. TOUR OPERATOR WA...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Kijana wa Mwananyamala aliyepotea, akutwa ameuwawa

    Jina: Awezi Emedi Swalehe Umri: Miaka 23 Anaishi: Mwananyamala, Dar es Salaam Alichukuliwa: Sinza, Dar es Salaam Habari mbaya sana. Mama mdogo wa kijana aliyeripotiwa kupotea amenipigia simu akiwa analia baada ya kubaini kuwa kijana wake ameuwawa. Kwa mujibu wa taarifa alizonipa, mwili wa...
  13. M

    Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kijana aliye Piga Base Guitar ya Wimbo wa Lango Nimemnyoshea Mikono

    Wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema Gospel Choir. Wimbo wenyewe asili yake ni Tenzi za Rohoni, lakini hawa jamaa wameupa uhai mpya wa aina...
  15. Red black

    Utamshauri nini kijana mwenyewe umri wa miaka 20-35

    Investing is very important
  16. Jannatul Firdaus

    Kijana mwenye ndoto ya kuendesha G-Wagon, aunda gari linalofanana muonekano ili kuishi ndoto zake

    kijana kutoka nchini Nigeria, Chukwudi Godday Eze, amekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufanikiwa kutengeneza gari lenye muonekano wa kipekee unaofanana na gari la kifahari aina ya Mercedes-Benz G-Wagon kwa kutumia vifaa vya ndani. Chukwudi alianza mradi huo wa ubunifu akiwa...
  17. Think2

    Naomba msaidie huyu kijana

    Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
  18. Waufukweni

    Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

    Wakuu, tupige stori kidogo Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
  19. Troll JF

    Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  20. N

    Kijana mwenzangu usikate tamaa maisha yanawezekana

    Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako. Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini nilipiga 4 ya 28 ingawa masomo ya sayansi nimepiga D zote. Nikawacheki wazazi nikawaomba wanipeleke chuo...
Back
Top Bottom