kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    Kijana ataka ajiajiri awe blogger, Influencer na documentary maker lakini si mwandishi wa habari na hana shahada ya uandishi wa habari, afanye nini?

    Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale. Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
  2. Pdidy

    Polisi wa New York wamekamata kijana anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya Javits Frimpong mwenye asili ya Ghana

    Polisi wa New York (NYPD) wamekamata kijana mwenye umri wa miaka 17 anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya Javits Frimpong, mvulana wa miaka 15 mwenye asili ya Ghana, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi wakati akienda shule mjini Bronx, Marekani. Katika video hiyo, maafisa wa polisi wanaonekana...
  3. MSAGA SUMU

    Kwa lugha nyingine DJ Majizzo ni trionea kijana Tanzania

    Kuna mgodi jamaa anaujenga wilayani kwa DC Nikki wa Pili. Kawekeza bilioni kumi kwa kuanzia, mpango ni kuongeza mpaka bilioni 100 ndani ya miaka 3. Kwa sisi wataalam wa biashara tunajua kabisa mfanyabiashara huwa anawekeza sio zaidi ya 10% ya hela yake kwenye madini, kwa sababu ya risk. Kwa...
  4. M

    David Kafulila: Kupitia PPPs tunajenga nchi ambayo kijana wa kitanzania mwenye ufanisi wa 40% aweze kushindana kwenye soko na Mchina mwenye 70%

    Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele. David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Anayeuliza swali hili ni kijana Ibrah Mkwela. Swali fikirishi kwa vijana wa leo.

  6. Prof_Adventure_guide

    Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  7. BR Stationary

    Chukua Code kijana

    Mwanaume. 1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu. 2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA. 3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki 4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae. 5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia. Being MAN isn’t easy.
  8. Design Your Idea

    HII SASA IMETOSHA AISEE: Kijana (21) amefariki dunia kwa kujinyonga Manispaa ya Geita huku chanzo kikidaiwa kuwa ni changamoto ya mahusiano

    .
  9. R

    Msimuue kijana wa watu hana kosa, mpelekeni mahakamani

    Watekaji, kama ni kweli msimuue Twaha Mwaipaya! Hana kosa, hata kama ana kosa mpelekeni mahakamani! Chances are very feeble kuwa atasalimika maana hii ni mission from Malawi!
  10. zee_latown

    Nashauri kijana anayejitafuta amuangalie Rostm Aziz kama icon kwenye kujenga mipaka

    Habarini! Nadhani kwa umri ninaweza kuwa mkubwa kidogo kuliko RA, ambaye ni mdogo wangu. Lakini nina jambo ambalo ningependa kuwashauri wale wote walio tayari kushaurika, hasa vijana wanaojitafuta na wanaotaka kufika mbali kimaisha. RA ni mtu smart, ingawa kama binadamu mwingine yeyote anaweza...
  11. Financial Analyst

    2026 eti unakuta kijana anatafuta mke wa pili. Hivi kwanini ni ngumu kutenganisha Mwafrika na hili jambo?

    2026 eti unakuta kijana anatafuta mke wa pili. Hivi kwanini ni ngumu kutenganisha Mwafrika na hili jambo? 🚮
  12. Hance Mtanashati

    Kijana usiishi kimazoea. Usiishi kwa imani jifunze kuloga na kujikinga

    Hakuna atakayekwambia haya maneno. Usiishi kama ndezi utachelewa sana maana kwa sasa ulimwengu ni uwanja wa dhambi usipo wahi utawahiwa. Jifunze kuloga na kujikinga si kila anayecheka na wewe anakupenda. Hata hao unaowaona ni watu wa dini either wanapishana vilingeni kuweka mambo sawa, au...
  13. M

    Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Inashangaza kijana anasimu kubwa lakini anasema Hana office wala kazi.

    INASHANGAZA KIJANA ANASIMU KUBWA LAKINI ANASEMA HANA OFFICE WALA KAZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Shahidi. Moja ya mambo yanayonifanya nishangae ni kuona kijana wa miaka 18 -40 mwenye simu kubwa lakini anakuambia sina office, sina kazi, na analalamika, anashutumu, analaani watu wengine...
  15. M

    Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  16. min -me

    Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

    Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔 Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
  17. Red black

    Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

    Kama una 10M Yas kibubu, M.wekeza Utt amis
  18. zee_latown

    Nikiwa kijana nilikuwa nina hulka ya kupenda wamama wakubwa wakubwa

    maisha yanakwenda kasi sana... habarini. kimsingi umri umesogea kwa sasa ila kuna mambo nikikumbuka nastaajabu mno. at only 23 up, nilikuwa sivutiwi na wanawake slim.. nilipenda sana big size... thick thrills. kama hilo halitoshi, nilipenda akina mama watu wazima na karibu wote ni maria...
  19. Kazanazo

    Kama kijana niliyelelewa kwenye maadili

    Nimelelewa na wazazi na kufundishwa kuwa muadilifu, mtiifu, mwenye heshima kwa mkubwa na mdogo As nimekulia kileji katika harakati za utafutaji nikaibukia town, niseme tu life ya town ni tofauti sana kwa kijana mwenye maadili na alielelewa katika kuheshimu, kuwa na haya na kutenganisha masuala...
  20. Red black

    Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

    kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo...
Back
Top Bottom