Kama nilikuwa nikiamini kuwa CORONA hainiwezi maana ninaye Mungu baba, sasa nimeanza kufikiria tofauti.
Kumbe lolote linaweza kutokea kwa yeyote. Rais Nkurunziza sijui kafa kwa ugonjwa gani hasa ila naamini Corona haiwezi kupuuzwa kwenye hili.
Tuwe makini bado
Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza
Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na mshituko wa moyo.
Tangazo la serikali kwenye Redio na...
Ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya kifo cha mmarekani mweusi George Floyd kwa kukandamizwa shingoni na police hadi kupelekea kifo chake huko Marekani, pamoja na maandamano yaliyofanyika katika nchi nyingi na watu kutoa matamko ya usawa lakini mwamba huyu amabaye nae hupenda kulituhumu jeshi la...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
Dunia imezizima, Africa imezimama na Marekani imezizima. Kifo cha Mmarekani mweusi Mr. George Floyd(48) kimebadilisha kabisa mwelekeo wa siasa za Kibaguzi si Marekani tu baali dunia nzima ikiwemo Tanzania.
Siasa za Kibaguzi zipo tu kila sehemu duniani. Kuna watu wanafikiri ubaguzi ni wa rangi...
Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!
Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.
Inasikitisha.
Akapumzike kwa...
Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo.
Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016
Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya...
Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua!
Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
George Floyd was a porn star and in the industry he was going by the name " Big Floyd".
Ukiwa porn star unakuwa unakutana kingono na wanawake wengi.
Katika ulimwengu wa rohoni unapo fanya tendo la ndoa na Mwanamke automatically unakuwa umeingia katika AGANO rasmi la kiroho la kuunganisha nafsi...
Habari wana intelligence.
Kuna simulizi niliwahi kuisikia kutoka usukumanj ambapo anatoka mwanamalundi.
Humu zimeshaandikwa sifa zake nyingi sana sina haja ya kurudia.
Huyu bwana alikuwa na visa na watu wengi kutokana na jinsi alivyokuwa hivyo wengine wakawa wanatafuta njia ya kumuua au...
Mmarekani mweusi alieuwawa na polisi mjini Minnesota wiki hii bwana George Floyd na askari Derek Chauvin anaetuhumiwa kumsababishia kifo baada ya kumuwekea goti shingoni wote walikua wanafanya kazi kwenye night club moja kama walinzi wa usalama au security guards.
Derek amekua mlinzi wa club...
Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2
Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
Safari ya Mwisho ya Albert Mangwea (RIP) katika picha
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo Novemba kushoto akijadiliana jambo na viongozi wa Kamati ya Mazishi katika shughuli yaa kumuaga marehemu Albert Mangwea, katika viwanja vya Leaders Club leo.
Wasanii wanaaga
Mbunge Idd...
Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu.
Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
Nauliza hili swali kwa wale wamiliki wa chama ambacho kimejaa husuda dhidi ya taifa letu.
Maana hapo awali walikuwa wakisema tunahitaji tupate rais ambae ni mzalendo na mchapa kazi.
Sasa Mungu amesaidia JPM amepatikana na kwa uzalendo na ushujaa amedhibiti rushwa na ubadhirifu.
Kwa uzalendo na...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni Muathirika wa tatizo la Vidonda vya Tumbo Almost Mwaka sasa lakini kutokana na kuutibu huu ugonjwa bila mafanikio nimepata comment mbali mbali ambazo nyingine zimenipa khofu.
Nataka niamini tunkwa ushuhuda ni kweli vidonda vya tumbo vinaweza kupelekea kifo? na je...
Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK.
Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu:
1. Kufunga shughuli...
Mwaka 2015 nilimpoteza baba yangu ambaye alikuwa tegemezi kubwa sana katika familia, enzi za uhai wa baba financially alikuwa vizuri sana. Nilikuwa nimeajiriwa, pesa zangu ziliishia kwenye pombe na wanawake. Imagine at the age of 30 I was staying at home with my parents na nilikuwa na kazi nzuri...
Kama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.