Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ni msiba mzito kwa Taifa na umekuja kwa mshtuko mkubwa kwasababu umetokea hakuna aliyetarajia au kutegemea
Amesema, "Hakuna aliyetarajia kwasababu kama tungesikia Mzee amelazwa anaumwa kwa wiki na tumekwenda...
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastorn amesema kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam sio pigo kwa Tanzania tu bali kwa jumuiya nzima ya kimataifa.
Balozi Gastorn amesema kuwa...
Kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, Chama cha CHADEMA kimesogeza mbele mikutano yake ya kuwapata Wagombea Urais wa Tanzania na Zanzibar
Mikutano ya kuwapata Wagombea hao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 ilikuwa ianze Julai 27 hadi Julai 29, 2020 lakini sasa...
Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya...
Asia Said Ali (50) Mrangi ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Kata ya Palanga, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kupigwa mshale na Mtu aliyefahamika kwa jina la Haruna Ali Kimata miaka 35.
Marehemu akiwa amekaa na mume wake muda wa saa mbili na nusu...
Waswahili husema kikulacho ki nguoni mwako, mkulima mmoja kutoka Kisiwani Pemba, alinusurika kifo baada ya kupigwa na mapanga mwili mzima na ndugu yake ambaye alimkuta akimuibia ndizi shambani kwake.
Bwana Issa ni mkulima mdogo kisiwani Pemba wakati wa tukio hilo, aliigiza kama amekufa ili...
Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya mahakama.
Mahakama ilisema kuwa Majd alikuwa na uhusiano na Shirika la kijasusi la kimarekani, CIA, na la...
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
Narudia tena kusema ‘MFICHA MARADHI, KIFO HUMUUMBUA’
Habari za muda huu ndugu zangu, waungwana wenzangu. BIla shaka afya zenu ni njema na mnaendelea vema kabisa na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania.
HONGERENI SANA
Waswahili walisema “Mficha maradhi, mauti humuumbua”
Kauli hii ina...
NA AnonymousAfrica #Twitreporter
Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua
Kuuliwa kwa Malcolm X
Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
Amani iwe nanyi
World average life span,katika kila nchi duniani kunakua na umri wa ukomo wa kuishi mfano kwa hapa kwetu Tanzania ni kuanzia miaka 60 means kwamba ukifika miaka 60 basi kwamba kifo ndio hatua inayofuata
Lakini pia wazungu wanaamini kua ikitokea mtu amekufa chini ya muda wa...
WanaJF,
Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa!
Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa...
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980
Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo...
Hili ni tukio la kweli kabisa lililotekea mwaka 1988, kuna Jamaa mmoja alitokea Tanzania kwenda Msumbiji kwa kupitia border mmoja inaitwa Congress au mkenda.kipindi hicho haikuwa njia rasmi sababu kulikuwa hakuna ofisi za uhamiaji kwa pande zote mbili yaani TZ na MOZ.
Jamaa alikuwa anaenda...
Habari zenu wanabodi.
Siku chache zilizopita TPDC ilifungua rasmi kituo cha mafuta cha kisasa kabisa Musoma mjini, na jana wamefungua tena huko Segera mkoani Tanga na katika mahojiano na vyombo vya habari Mkurugenzi mkuu wa TPDC ndugu James Mataragio, Alinukuliwa akisema kwamba lengo lao ni...
Mmarekani mweusi amekandamizwa shingoni kwa dakika nane na kupoteza maisha.Maandamano na ghasia vikaibuka Marekani na nchi zingine.Africa hatukubaki nyuma kulikemea jambo hili.Huu ni unafiki mkubwa kwani kwenye nchi zetu hayo yamefanyika sana na kwa uwazi lakini hatukemei.
Kwanza,kitendo hiki...
Habari zimethibitishwa kuwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi alikuwa muathirika wa gonjwa hatari la COVID19.
Tuchukue tahadhari wandugu, gonjwa bado linatesa.
---
Burundi’s outgoing President Pierre Nkurunziza died of Covid-19, diplomatic sources in Bujumbura and Nairobi confirmed on Wednesday...
Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi
Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.