kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 20 kumbukumbu ya kifo cha Mzee Moses Nnauye na kilio cha kupewa mtaa

    MIAKA 20 KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MOSES NNAUYE NA KILIO CHA KUPEWA MTAA Tumeshuhudia mambo mengi sana katika Mwaka uliomalizika wa 2021 yapo mambo mengi lakini yaliyotikisa ni mambo ya Kisiasa, Tulishuhudia katika Tasnia ya siasa za (Chama Tawala, chama cha Mapinduzi) na za baadhi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

    Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo? Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    Habari wanazengo, Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa. Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?) Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kifo juu ya mti

    Tukio lililonitokea nikiwa darasa la tatu. Ikiwa muda wa masomo umemalizika, nikiwa na wanafunzi wenzangu, tunapita jirani na mti wa mzambarao. Mti ule ulikuwa umesheheni zambarao zilizoiva na nono zaidi, wale waliyopitia maisha haya nadhani wananielewa vizuri. Mti huo ulikuwa mrefu mithili ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

    Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida. Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Dkt. Magufuli kimeipasua CCM. Je, huu ndio wakati wa wapinzani kutusua kisiasa?

    Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia. Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi. Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao. Ccm ya sasa imepasuka maana kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia kifo rasmi cha CCM Asilia na CCM Chotara, CCM Chawa nao hawatafanikiwa

    Wana JF Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda vilivyoachwa na serikali tangulizi, nupende tu kusema basi kifo rasmi cha Ccm asilia wanaojinasibu kama...
  12. JamiiForums Tanzania Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

    Wana JF Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote. Msindani wake...
  13. JamiiForums Tanzania Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  14. JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

    Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
  15. JamiiForums Tanzania Mjomba wangu anataka kuchomwa akifa, familia yake imekataa kaja kwangu, Nichukue uamuzi upi??

    Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkuta Sababu zake mpaka sasa hazijaniingia akilini, yeye hataki mwili wake uoze taratibu, sijui mambo ya mwili kutumika msukule, kuhofia kwamba ataamka akizikwa 😂 😂 n.k. Familia yake...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikupishanisha na kifo?

    Katika maisha licha ya kuwepo na changamoto nyingi, kuna matukio ama changamoto ambazo zinakaa ndani ya mioyo yetu bila kutoka kwa sababu ya uzito wake hasa pale yanapo tufanya tunusurike kifo. Niende kwenye tukio, Mwaka 2019, jijini Dodoma, kwa uwezo wa Mungu nilifanikisha kupata kaelimu kangu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha mzee Kassum

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
  19. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

    Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku wengine watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 39 gerezani kila mmoja. Wanajeshi hao watatu...
  20. JamiiForums Tanzania Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…