kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. TheGreatASA

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa

    Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na wanawake. Hatahivyo wale wanaofanya tendo la ndoa wanaweza kuwa katika hatari ya kufa kifo cha ghafla, au wote wanaweza kupata maambukizi au kuugua wakati...
  2. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe 25 wafa baada ya kupata chanjo dhidi ya homa ya mapafu

    Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameagiza kusakwa na kukamatwa kwa wataalamu wa mifugo, waliotoa chanjo ya homa ya mapafu kwa mifugo katika Kijiji cha Mlazo, wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Septemba Mosi 2021 na Wizara ya Mifugo na...
  3. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani awapongeza polisi kwa kuhitimisha kifo cha muuaji katili

    Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati. Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana. Lakini pia niwapongeze...
  5. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo. Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki walimponza Mwl. Kashasha, aliambukizwa COVID-19

    KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu. SOMA ZAIDI: Kilichomuua Mwalimu Kashasha hiki hapa Hutasikia tena ile misemo, mbwembwe zake akitangaza...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nguruwe akila pilipili anakufa?

    Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife? Msaada tafadhali ndugu wafugaji
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Rais Benjamin William Mkapa

    TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa. Aliyesoma taazia ya Dr. Dau kwa rafiki yake Benjamin William Mkapa atakuwa ameona kanitaja kuwa mimi ndiye...
  9. Ileje

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

    Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso. Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda...
  11. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la kuishi/Uhai ni ku enjoy hisia zetu na kuzi balance, kifo ni matokeo ya ku over/under feelings

    Habari wakuu hope mpo njema sana na sawia, kabla sijaingia katika maada kwanza tupeane pole kwa mtikisiko wa sasa unao ikumba hii Dunia yetu, hatuna Dunia ingine ya kuhamia kwa uharaka, Hata kama ingekuwapo basi tungehamia lakini tungehamia na magonjwa yetu,dhiki zetu,njaa...
  12. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  13. Bamileck

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake. Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
  14. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  15. The Genius

    JamiiForums Tanzania Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

    Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba anaandaliwa na mataifa ya Ulaya kuwa Rais wa Gabon. Japo Oliver alikanusha madai hayo lakini...
  16. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  17. Mandesy

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Tukiwa bado tunatafakari mabadiliko ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, hali inaonekana sio shwali ndani ya chama hicho. Nasema hali sio shwari, kwani kila mtu amekuwa na hofu kubwa, hasa wale wadadisi ndani ya chama. Inavyoonekana kwamba sasa hivi JPM ameamua...
  18. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Uzoefu unaonesha kuwa wote wanaobeza covid-19, huishia kufa kwa ugonjwa huo

    Uzoefu unaonyesha kuwa watu wote wanaobeza corona, huishia kufa kwa Corona, hivyo huyu mchungaji atafuata mkondo ule ule na hatamaliza hata miezi 6 na akibahatika sana, basi ni mwaka mmoja. Kingine nachokiona kuhusu huu ugonjwa ni kuwa, ukiwa maarufu au mtu mwenye ushawishi katika jamii na...
Back
Top Bottom