WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.
CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.
WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.
Hayati JPM hachafuki.
WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Katika upelelezi wa matukio kama haya huwezi kuacha kuangazia (last moment ya marehemu)
Marehemu padri Francis katika mahubiri yake ya misa takatifu jumapili ya matawi!
Sehemu kubwa ya mahubiri yake alilalamika jamii kusema vibaya watu, alisisitiza kwamba yeye kama paroko anasemwa vibaya sana...
Utaskia..
"Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka.
"Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA)
Leo 14:25pm 15/04/2022
Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
WANAUME WANA MAUMIVU PIA
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema baada ya kifo cha Oulanya ametoa amri kwa Polisi kufuatilia wanaondika kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jacob Oulanya alifariki baada ya kupewa sumu, wakamatwe ili watoe ufafanuzi na kueleza Polisi kile wanachokijua.
Pamoja na hivyo, bado familia ya...
Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala...
Cc: johnthebaptist
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Wanasema we are made of atoms 100%, na atoms are forever and you can't destroy it, sasa kifo kinatoka wapi kama kila kitu from galaxies mpaka miili yetu yote na kila kitu kinachotuzunguka ni atoms 100% ? naanza kuamini life is forever ( maybe in different forms after you "die")
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga.
Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
Habari,
Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa.
Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya kigaidi ya kigeni" na kuwa na "imani potovu", Shirika la Habari la Serikali la Saudi Press Agency...
Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona.
Anord alisema akiwa...
Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.Image caption: Abu Ibrahim al-Qurayshi alikuwa mwanajihadi mkongwe wa Iraq ambaye jina lake halisi lilikuwa Amir Mohammed al-Mawla.
Kundi la Islamic State (IS) limemtaja kiongozi...
Wakuu habari za mida hii.
Mwenzenu yamenifika, kwanza kabisa nitangulize salamu kwa wakubwa na wadogo Mahrahaba! Umri wangu ni 33 years Nipo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa na hapa nimebahatika kupata watoto wawili.
Wakuu tatzo lililonisibu nimepoteza hisia za kimapenzi na Mke wangu kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.