Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo.
Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
Huku na huku nafsi imekata tamaa na kuendelea kuwepo duniani. Sijui nini kinafuata baada ya roho yangu kuacha mwili labda huko mbeleni baada ya kifo nitafahamu.
Siri ya mtungi aijuaye kata, siwezi kuelezea yote ninayoyapitia hata nguvu ya kuandika sina. Malapa na viatu vimeisha kwa kutafuta...
Michael nguma
0693110405
Inakuaje taifa kubwa kuwa na wasomi wengi wasio na maarifa katika rasilimali za taifa hilo?
Inakuaje taifa lenye mifumo ya elimu kuanzia ngazi za chini mpaka chuo kikuu linakuwa na wasomi wasio na maarifa ya kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa yao na kwa manufaa ya...
Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao.
Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika.
Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu.
Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
Mahakama ya Gambia imewahukumu kifo Maafisa watano wa zamani wa Idara ya Upelelezi kwa mauaji ya Mwanaharakati wa Kisiasa wakati wa utawala wa Rais wa zamani, Yahya Jammeh
Jaji wa Mahakama Kuu, Kumba Sillah-Camara ametoa hukumu dhidi ya Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Taifa (NIA)...
Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto
My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi
=========
US health officials brace for...
Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema?
Toa uzoefu wako hapo chini.
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.
Ntaanza na hizi chache...
1.Biashara ya...
Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule
Moto...
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.
Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama...
Binti mwenye umri wa miaka 17, mwanafunzi wa darasa la 12 katika shule ya Sekondari eneo hilo (jina limehifadhiwa) amesema kwamba walihudhuria sherehe katika klabu ya East London kwa sababu waliarifiwa kwamba iliandaliwa waigizaji mashuhuri
Anasema kwamba watu walipozidi kuongezeka, baadhi ya...
Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema
Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898
Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika.
Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki.
Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively.
Imekua kama jambo la kawaida kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.