kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuchunguza sababu za kifo cha aliyedaiwa kujinyonga Mahabusu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), itafanya uchunguzi huo baada ya familia ya Marehemu Stella Moses kupinga maelezo ya kituo cha Polisi Mburahati yaliyodai Stella alijinyonga baada ya kujisalimisha kituoni hapo Desemba 20, 2020. Washtakiwa katika shauri hilo ni Mkuu wa Jeshi la...
  2. snowhite

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Wanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa. Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu. Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Abiria 20 wanusurika kifo ajali ya lori, Coaster

    Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo. Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  5. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Norah; aliyejifanya mwanaume ili ajue maisha ya wanaume yakoje

    Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
  6. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

    RIP sis Angel, Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta. Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Familia yaomba uchunguzi kifo cha aliyechapwa viboko 280

    Serikali imeombwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua waliohusika na kifo cha mkazi wa Sanawari, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Nelson Mollel (32) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa viboko 280. Mollel alifariki Januari 8, 2023 kwa madai ya kuchapwa baada ya...
  9. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru uliweka kifo

    Pasingekuwepo kifo low classes tungeumia sana, wenye mamlaka ni full kujisahau, wananyang'anya hata kile kidogo apatacho asiyenacho. Mungu muumba mbingu na nchi hakika haufananishwi na kitu kingine, uliona mbali. Kifo ni haki iliyosawa na isiyoyumba au kubagua, humfikia kilammoja na wakati wake.🙏
  10. Gama

    JamiiForums Tanzania Kifo kingine chenye utata kwa tajiri wa Urusi Pavel Antov

    Paavel Antov tajiri katika baishara ya Sausage amekufa kifo cha utata akiwa nchini India, inasemekana kifo chake kilitanguliwa na kifo cha rafiki yake. Chakushangaza ni kuwa wote wawili miili yao ilichomwa moto na hivyo wajuaje wa mambo wanashanaa kwanini miili yao ilichomwa moto ilihali wao ni...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi 8 wahukumiwa kifo kwa kuua raia wawili wa China

    Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu. Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na Kayumba Sumahili. Wanajeshi wengine watatu ambao walikuwa wamehukumiwa hadi kifungo cha miaka 10 jela...
  13. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Hali ya Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo Barani Afrika

    Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa. Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema afuta rasmi Adhabu ya Kifo Zambia

    #JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu 2052 Walipewa Adhabu ya Kifo kwenye Nchi 56 ikiwa ni Ongezeko la 39% na 579 kati yao Wameshauawa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utata kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyedaiwa kupigwa na mwalimu

    Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake? 2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
  18. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa anakanusha mashtaka hayo. Kabara (52) anashikiliwa na mamlaka tangu Julai 2021 alipotuhumiwa. Kano ni...
  20. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania RIP MWAMBA

    Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe sasa siku hiyo akakuta SMS za mapenzi Kwa mkewe ndio kisanga kikaanza hapo jamaa akaanzisha timbwili...
Back
Top Bottom